Nimechoka! Jirani ananifuturisha mihogo na uji kila siku. Nifanyeje?

Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama.

Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.

Anapokupa mhogo ni tafsida hujaelewa. Kuna siku sasa atakuchapa nao kabisa. Maana anaona una penda vya bure atanunua tu vaseline au parachute kisha akuchape na limhogo
 
Jirani yangu Nassoro ni miyeyusho sana yeye na mkewe. Toka Ramadan ilipoanza wao wananifuturisha mihogo na uji kila siku wakati naonaga wamenunua mchele na tambi na nyama.

Natafuta namna ya kumwambia maana kutochangia haimaanishi ndio wanipe mihogo kila siku kama nguruwe.
Utaliwa kiboga mtoto.wa kiume! Hamwonagi aibu?
 
Kuna majirani wengine jau kweli, anaketea kiporo kilichobaki jana yake kwenye futari.
 
Vipi bado wanaendelea na mchezo wao wa hovyo leo chungu ya 11.
 
Back
Top Bottom