Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 367
MadameX acha fujo bana. Wenzako tuko serious unajua!Cool Gentleman , we need you on rescue.
pole dadangu,mungu anaona kilio chako ila masharti ya huyo umtakae nae ni magumu,punguza kidogo!!mapenzi sio lazima hivyo viwepo
Nakadori uhohi nikuvonye mntu eho serious?
Njoo kwangu, i'm serious japo unanizidi ivo ivoMimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).
Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.
Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.
Niko zaidi ya serious katika hili.
Dah ila bs t nilikuwa sikusoma vigezo vzr, mimi napenda mazoezi ya viungo ila kuhusu mamno ya elimu sijui dini huko ndiko kumenifelisha although wallet imetunaMimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).
Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.
Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.
Niko zaidi ya serious katika hili.
Mbinguni utapaskia tu..Njoo kwangu, i'm serious japo unanizidi ivo ivo
Sa' mjuba si aneleweka kilio chake ni true love, so vijana wenye true love tupo na ndo mnasemaga tupo wachache, sema kunabaadhi y vigezo vimenipiga pushMbinguni utapaskia tu..
Umeamua kufukua kaburi la yule aliyeleta uzi wa kusema yeye anagegedwa na mjomba wake.
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).
Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.
Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.
Niko zaidi ya serious katika hili.
Unataka jibaba? Au hata kibaba?..Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).