Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

Hii tabia inakera sasa kwa siku nafuatwa na wanawake 6 mpaka 10 huku pm....wengi wao wanaomba mahusiano na mimi mwizukulu mgikuru a.k.a babu...nimechoka kutongozwa na akina beesmom. ...
Sasa babu unafeli wapi mbususu zinajileta zenyewe ni kuzigegeda tu. Kweli penye miti mingi hakuna wajenzi

Sema ndo hivyo wengine hatuna hela wala mvuto (tall, dark, handsome) hatushobokewi pm na hizi pisi za jf😔
 
Back
Top Bottom