Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
494
Reaction score
856
Hello waungwana!

Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake.

Ananisababishia hasara kwasababu Kuna wakati nanunua maji nikijua hayajatoka wiki nzima kumbe Kuna muda yanatoka na Mimi sijui kwasababu anakuwa amefunga bila Mimi Wala watu ninaoishi nao kujua.

Nilishamwambia msoma mita za maji lakini alikataa na kudai kuwa syo yeye, lakini huu mtaa una nyumba tatu tu za makazi ya watu na sehemu iliyobakia ni yard za magari plot nne na hyu jirani mwingine ni MITA mia tatu kutoka kwangu na hapa katikati Kuna viwanja vimepimwa tu kwa maana kwamba havijajengwa.

Mtaa huu pia hauna watoto unaoweza kuwakuta nje wakicheza na hata hivyo nyumba zote tatu ni Mimi tu ndyo Nina mtoto wa miezi 9 lakini huyu jirani mkorofi(mmasai) ambaye ndiyo ananifungia MITA yangu watoto wake wote watatu ni employees ni watu wazima na huyu jirani mwingi hata sijawahi kujua kama ana watoto na hata yeye mwenyewe kuonana nae mpaka kuwe na tatizo hapa mtaani.

Nawaomba kama Kuna solution ya hili tatizo hata kama kitu chochote Cha kuweka pale kwenye lock ya maji ili akigusa adhurike tu ili aache huu mchezo

Nawasilisha.
 
Tumekaa wiki nzima hatuna maji kumbe mjinga mmoja na sie katufungia mita. Aisee dsm mji wa kishenzi sana
 
Toa ile ring iliyopo kwenye koki, kibaki kichuma tu ili akitaka kufunga mpaka awe na prize
Mkuu zile gate valve zenye ring huwa wanaiba usiku kwahyo natumia hizi za plastic
17383517181815180612236785993986.jpg
 
Back
Top Bottom