Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

Aisee, ngoja nijaribu hilo pia
Badala ya kumalizana nae kienyeji, Unaweza tafuta ushahidi wa video na ukamshtaki kwa trespass (uvamizi) kwenye eneo lako na ukapata faida ya pesa pia kutokana na tabia zake za kishenzi.

Nunua camera ya bulb zile (E27) ni Tshs. 35,000/= tu, Memory Card ya 64GB ni Tshs. 18,000/=, kwa hiyo jumla ni Tshs. 53,000/=, weka mahali ambapo itaweza kumuona mtu anayesogelea mita yako, na uzuri wa ile camera, inazunguka nyuzi 360, kwa hiyo ikimsoma hata akitaka kukimbia, yenyewe inakua inaye tu.

Utamfundisha huyo jirani yako kuacha ujinga na tabia za kishenzi. Atajifunza kwa gharama na maumivu.
 
Back
Top Bottom