angalia hapo ulipokaa umeegemea mti una siafu wengi kwa juuNipo London mwaka wa 35 leo na maisha ni mazuri sana nasubiri kustaafu nikanunue nyumba Spain au France π
Kama Mungu akinipa uzima na afya njema
sasa nunua usafiri mzuri na ujenge nyumba ya wastani kaliiiNinafanya kazi katika moja ya zile top 4 big audit firms hapa bongo.
wasiwasi wangu ni kwamba kwa tamaa ya fedha , mali na maisha bora zaidi uliyonayo utarudi bongo ukiwa UMEOA au UMEOLEWA?Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.
Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
kaka umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu,,,mashangazi yana utamu mnoooooo kuliko hizo pisi kaliNdo mpo hivyo watu wa jf,mtu ameleta mada yake mnaanza kuleta idology zenu za hovyoβ¦.Yaani nije kufatuta mwanamke jf kweli!!! Niache mademu wa kitaa visu kweli nije huku ambapo 70% ni mashangazi
UsilieWivu tu,mimi nakaa sinza na kuna mademu wakali sanaβ¦.Nije huku jf kutafuta mademu!!! Kwa kipi hasa???
Audit firm na unalipwa 2mNinafanya kazi katika moja ya zile top 4 big audit firms hapa bongo.
jana nilikuona live youtube kwenye msafara wa Mama ulikua serious sana aiseeeUsilie
Na ujifunze kuizoea jeifu
ww si upo ikulu huko ndio maana πAudit firm na unalipwa 2m
Mbona unapunjwa sana π
Au kazi yako ni kukagua risiti tu
sasa hivi nasikia salary ya jamaa yako imefanyiwa increment ,,,kwahyo jamaa analamba 19M hapo hatujajumlisha allowance na overtime.πKina jamaa yangu yupo bank x analipwa 18M per month.
Jamani wambie watu Ukweli. Si rahisi hivyo kupata visitor's visa. Hata kama una mwenyeji wako, hapa nazungumzia nchi ambazo nazijua Inn and out. Inchi hizo ni UK, Holland, Germany, na US..Utapoteza pesa yako ya visa, ambayo ni pesa ndefu ambayo si chini ya 1.8 milion. Utaambulia kupata refusal ya juu kwa juu hata interview huitwi. Kama UK mwenyeji wako anatakiwa awe na mshahara si chini ya Β£ 24000 na awe na chumba cha ziada cha kukulaza ka si mpenzi wako. Hakuna cha kusema uta lala sebuleni. Hata akiwa na hivyo vyote lazima na wewe uwe a 'connection' na nchi yako unayotaka kama uwe na mali zisizo hamishika kama nyumba, shamba, familia, account nono bank na uwe unalipa kodi. Hata ukiwa na yo utaambiwa motive yako ni kutaka kuzamia ktk nchi yaoKwa mshahara wako wa milioni mbili+ jipige uende kama visitor ukatoe matongotongo labda utabadili mawazo.
You are not serious, yani ukusanye dollar 8,000 ukimbilie Marekani, kule sio gongo la mboto labda uende Gaza.Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.
Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
Aiseeangalia hapo ulipokaa umeegemea mti una siafu wengi kwa juu
NB:nachombeza tu mkuu
Napenda sana maisha ya kijijini mkuu na nimekulia kwenye mifugo piaangalia hapo ulipokaa umeegemea mti una siafu wengi kwa juu
NB:nachombeza tu mkuu
Sijakucheka mkuu ila nimefurahia juhudi zako.Nimeona unanicheka ndugu.
Siku naingia mjini Dar es salaam toka kijijini huku nawaambia jf itanitambua
Subiri nikamilishe mavuno msimu huu..
Komaa upate experience halafu ongeza elimu kidogo.. hizo big 4 huwa ni rahisi sana kupata shavu ughaibuni kwenye ofisi zao...Ninafanya kazi katika moja ya zile top 4 big audit firms hapa bongo.
Atakuwa mfanyabiashara huyo ππ Ndio maana anaona hiyo pesa kidogo.Mkuu kwa mwaka unalipwa shs ngapi??