Nimechoka kuishi Bongo

Nimechoka kuishi Bongo

Ninafanya kazi katika moja ya zile top 4 big audit firms hapa bongo.
sasa nunua usafiri mzuri na ujenge nyumba ya wastani kaliii
kila jumamosi hudhuria ibadani halfu jumapili asubuhi nenda mazoezi ukitoka hapo jiandae jioni kwenda mahali kutafakari huku unashushia wine yako nzuriiii
baada ya mwezi utaleta mrejesho hapa.
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
wasiwasi wangu ni kwamba kwa tamaa ya fedha , mali na maisha bora zaidi uliyonayo utarudi bongo ukiwa UMEOA au UMEOLEWA?

Maana hiki ni kigezo muhimu sana watu wa huko ng'ambo wanazingatia ili uishi kwao vizuri......

Maana nguvu kazi muhimu ya Taifa imezama huko mbaya sana ...
 
Ndo mpo hivyo watu wa jf,mtu ameleta mada yake mnaanza kuleta idology zenu za hovyo….Yaani nije kufatuta mwanamke jf kweli!!! Niache mademu wa kitaa visu kweli nije huku ambapo 70% ni mashangazi
kaka umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu,,,mashangazi yana utamu mnoooooo kuliko hizo pisi kali
 
Kwa mshahara wako wa milioni mbili+ jipige uende kama visitor ukatoe matongotongo labda utabadili mawazo.
Jamani wambie watu Ukweli. Si rahisi hivyo kupata visitor's visa. Hata kama una mwenyeji wako, hapa nazungumzia nchi ambazo nazijua Inn and out. Inchi hizo ni UK, Holland, Germany, na US..Utapoteza pesa yako ya visa, ambayo ni pesa ndefu ambayo si chini ya 1.8 milion. Utaambulia kupata refusal ya juu kwa juu hata interview huitwi. Kama UK mwenyeji wako anatakiwa awe na mshahara si chini ya £ 24000 na awe na chumba cha ziada cha kukulaza ka si mpenzi wako. Hakuna cha kusema uta lala sebuleni. Hata akiwa na hivyo vyote lazima na wewe uwe a 'connection' na nchi yako unayotaka kama uwe na mali zisizo hamishika kama nyumba, shamba, familia, account nono bank na uwe unalipa kodi. Hata ukiwa na yo utaambiwa motive yako ni kutaka kuzamia ktk nchi yao
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.

Sawa ninapata pesa, nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi. Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende Marekani au UK huko. Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
You are not serious, yani ukusanye dollar 8,000 ukimbilie Marekani, kule sio gongo la mboto labda uende Gaza.
 
Ninafanya kazi katika moja ya zile top 4 big audit firms hapa bongo.
Komaa upate experience halafu ongeza elimu kidogo.. hizo big 4 huwa ni rahisi sana kupata shavu ughaibuni kwenye ofisi zao...

Nina wana kama watatu nawajua walikuwa hizo hizo big 4 leo hii wawili wapo UK na mmoja yupo Singapore.

Tuliza pupa piga kazi kijana ... kikubwa kuwa na malengo tu
 
Back
Top Bottom