Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohh sawa nimeelewa,sijui kama huwa wanafuata watu PM ama laah,ila ninachojua wanawake wengi wavivu,tegemezi so akijua una chochote,rahisi kupatikana..so to flex ndio njia ya kuonesha I MADE IT
Kwako binafsi,,unaweza kuolewa na mwanaume ambae umemzidi kipato??
hahah ASILI ya mwanamke au ya wanawake wetu wa africa??Ohh sawa nimeelewa,
Hapana siwezi kwa sababu za “Asili”.
Sahihi, na ufikirie kwanini asili ilituamulia/ilitukubalia wanawake wa kiafrika kuolewa tukiwa “broke” walaumu mababu….. na tupambane kuibadili asili.hahah ASILI ya mwanamke au ya wanawake wetu wa africa??
Nikijipata its okay kuoa broke girl,ila wewe ukifanikiwa ASILI haitaki uwe mke wangu..wanawake wabinafsi,
nadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??Sahihi, na ufikirie kwanini asili ilituamulia/ilitukubalia wanawake wa kiafrika kuolewa tukiwa “broke” walaumu mababu….. na tupambane kuibadili asili.
Na tukiibadili asili tukubali kuishi kama wale ambao asili yao sio Africa, tusiedit edit mambo.
Halafu sio Africa tu, angalia jamii zote ambazo ni traditional, mfano wa Arab na wahindi.
Sasa huo ni mgawanyo wa majukumu tu mkuu kama ambavyo majukumu ya nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto et al yanavyoonekana ni ya kike wakati hata wanaume wanayaweza vizuri kabisanadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??
inashangaza mwanamke ana mshaara lakini anaomba anunuliwe muda wa maongezi..
nawewe mdada wa hivyo??
Definitely, Sote ni wa hivyo tunatofautiana kiwango tu. Tofauti yetu na wengine ni kuwa yeye anasimamia show yote lakini anajua zangu zipo na akizitaka muda wowote anazipewa.nadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??
inashangaza mwanamke ana mshaara lakini anaomba anunuliwe muda wa maongezi..
nawewe mdada wa hivyo??
Definitely, Sote ni wa hivyo tunatofautiana kiwango tu. Tofauti yetu na wengine ni kuwa yeye anasimamia show yote lakini anajua zangu zipo na akizitaka muda wowote anazipewa.
It takes kuwa na mtu ambaye hakupendi ili umuhudumie na yeye, ni kama wanawake walioamua kuchukua majukumu ya kulea vibenten, wanahudumia kama ambavyo wanaume mnahudumia. Fair…
Kuna wanaume wanaulinda uwanaume wao na wanawapenda wanawake zao, and they have what it takes, kusimamia show za kipesa walau kwa 85% si kitu kwao.
Pambana na uende popote pale na Mungu atakujaalia
Niliondoka huko nikiwa na miaka 19 tu tena miaka ya 70 nilipoona hapaeleweki [emoji1]
Sabihi na kila la heri.binti kiziwi kama nitaoa house wife,i will take care of her 101%,bt kama atakua na kazi,pesa yake yote lazma nijue inatumikaje kuchangia maendeleo ya familia,.hiyo ndio FAIRNESS
kama majukumu gani kwa uchache??Sabihi na kila la heri.
Na huyo mwenye kazi kuna majukumu hatoweza kuyatimiza kama utakavyowish, please bear with her!
Punguza makasiriko,mjomba.Kwa hiyo unataka sisi tukupe visa ya kwenda nje ya nchi au?
😎Kwahiyo huko kijijini kwenu ndo mliaminishwa kuwa doctor ndo anamshahara mkubwa sio? Mimi nina mtu namfahamu analipwa 5m+ na ni under 30,baki hivyo hivyo