Nimechoka kuishi Bongo

Nimechoka kuishi Bongo

sijui kama huwa wanafuata watu PM ama laah,ila ninachojua wanawake wengi wavivu,tegemezi so akijua una chochote,rahisi kupatikana..so to flex ndio njia ya kuonesha I MADE IT

Kwako binafsi,,unaweza kuolewa na mwanaume ambae umemzidi kipato??
Ohh sawa nimeelewa,

Hapana siwezi kwa sababu za “Asili”.
 
hahah ASILI ya mwanamke au ya wanawake wetu wa africa??

Nikijipata its okay kuoa broke girl,ila wewe ukifanikiwa ASILI haitaki uwe mke wangu..wanawake wabinafsi,
Sahihi, na ufikirie kwanini asili ilituamulia/ilitukubalia wanawake wa kiafrika kuolewa tukiwa “broke” walaumu mababu….. na tupambane kuibadili asili.

Na tukiibadili asili tukubali kuishi kama wale ambao asili yao sio Africa, tusiedit edit mambo.

Halafu sio Africa tu, angalia jamii zote ambazo ni traditional, mfano wa Arab na wahindi.
 
nadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??

inashangaza mwanamke ana mshaara lakini anaomba anunuliwe muda wa maongezi..

nawewe mdada wa hivyo??
 
Tafuta mume uolewe tu

Kama wewe unavyoishi hapo na huyo mumeo mzee na ukiwa mke mdogo au sio??? ACHA MAMBO YA KIWAKI….Kama umeweza kuolewa na hao vikongwe wa kitaliano ni wewe ila sio mimi. [mention]Andrew123 [/mention]
 
nadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??

inashangaza mwanamke ana mshaara lakini anaomba anunuliwe muda wa maongezi..

nawewe mdada wa hivyo??
Sasa huo ni mgawanyo wa majukumu tu mkuu kama ambavyo majukumu ya nyumbani kupika, kuosha vyombo, kufua, kusafisha nyumba, kulea watoto et al yanavyoonekana ni ya kike wakati hata wanaume wanayaweza vizuri kabisa

Majukumu pekee ya mwanamke ambayo mwanaume hawezi kuyafanya ni kubeba mimba, kuzaa, kunyonyesha (kwa sababu za kimaumbile) ila hayo mengine yote niliyotaja hapo juu mnayaweza ila kwanini mpaka leo mnayaita ya mwanamke

Yani wanaume wengi hawapendi kufanya kazi za nyumbani mpaka wajisikie sababu wanaona siyo jukumu lao, mnaweza wote kutoka kazini mmechoka ila mkirudi nyumbani, mwanamke tena ndio aingie jikoni huku mwanaume akipumzika sebuleni akisubiri kuandaliwa chakula tu

Na hii ndio sababu kubwa inayofanya mwanamke hata awe na hela kiasi gani, bado asichangie chochote kwenye majukumu ya mumewe sababu naye ana majukumu yake ambayo mumewe hamsaidii, na hata mkiajiri housegirl bado itabidi mke amsaidie housegirl kazi

Sababu wakiacha huwa mnalalamika kwamba wake zenu wamejisahau sana kila kitu wanawaachia mahousegirl, na mwisho wa siku mnaishia kutembea nao kwa visingizio lukuki, so siku kazi za nyumbani zikiacha kuonekana ni za mwanamke basi hata kutafuta pesa na kulipa bili itaacha kuonekana ni jukumu la mwanaume
 
nadhani kwa tz babu zetu enzi zao bibi zetu hawakua wanafanya kazi za uzalishaji mali,,majukumu yao kazi za nyumbani na kulea,.but sasa hivi mnakua hadi ma CEOs,hadi marais,.bado tuwahudumie??

inashangaza mwanamke ana mshaara lakini anaomba anunuliwe muda wa maongezi..

nawewe mdada wa hivyo??
Definitely, Sote ni wa hivyo tunatofautiana kiwango tu. Tofauti yetu na wengine ni kuwa yeye anasimamia show yote lakini anajua zangu zipo na akizitaka muda wowote anazipewa.

It takes kuwa na mtu ambaye hakupendi ili umuhudumie na yeye, ni kama wanawake walioamua kuchukua majukumu ya kulea vibenten, wanahudumia kama ambavyo wanaume mnahudumia. Fair…

Kuna wanaume wanaulinda uwanaume wao na wanawapenda wanawake zao, and they have what it takes, kusimamia show za kipesa walau kwa 85% si kitu kwao. 🤝
 
Definitely, Sote ni wa hivyo tunatofautiana kiwango tu. Tofauti yetu na wengine ni kuwa yeye anasimamia show yote lakini anajua zangu zipo na akizitaka muda wowote anazipewa.

It takes kuwa na mtu ambaye hakupendi ili umuhudumie na yeye, ni kama wanawake walioamua kuchukua majukumu ya kulea vibenten, wanahudumia kama ambavyo wanaume mnahudumia. Fair…

Kuna wanaume wanaulinda uwanaume wao na wanawapenda wanawake zao, and they have what it takes, kusimamia show za kipesa walau kwa 85% si kitu kwao.
 
Jadda upo sahii lakini umejumuisha wanaume wote,hayo malezi tu ya familia nyingi bt sio zote.

Kwetu hakuna kazi ya kiume wala ya kike..
Katika mgawanyo wa kazi,kwa maoni yako majukumu ya baba ni yapi,ya mama,watoto,??

Tafsiri yako ya familia bora ni ipi?
 
binti kiziwi kama nitaoa house wife,i will take care of her 101%,bt kama atakua na kazi,pesa yake yote lazma nijue inatumikaje kuchangia maendeleo ya familia,.hiyo ndio FAIRNESS
 
binti kiziwi kama nitaoa house wife,i will take care of her 101%,bt kama atakua na kazi,pesa yake yote lazma nijue inatumikaje kuchangia maendeleo ya familia,.hiyo ndio FAIRNESS
Sabihi na kila la heri.

Na huyo mwenye kazi kuna majukumu hatoweza kuyatimiza kama utakavyowish, please bear with her!
 
Kumbe ni huyo mtu sio wewe
Kwahiyo huko kijijini kwenu ndo mliaminishwa kuwa doctor ndo anamshahara mkubwa sio? Mimi nina mtu namfahamu analipwa 5m+ na ni under 30,baki hivyo hivyo
😎
 
Back
Top Bottom