Nimechoka kuishi Bongo

Nyumbani ni popote moyo unapofurahia so Mungu akusaidie utimimize unachotamani ila nakushauri nenda hiyo nchi unayoitaman kama kutembea kwanza uangalie wenzio wanavyoishi huko then ulinganishe na maisha unayoishi leo bongo.Usiuze assets wala kuacha kazi kwanza dogo.
 
Inategemea na ajira yako mkuu mfano wengi wanaofanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama huwa wanakubaliwa kupewa hizo visitor visas kiurahisi tu
 
Nenda bro, maisha popote....na kufa kupo palepale yanini kujitesa sehemu hutaki kukaa
Ubaya huko anakowaza kwenda inaonyesha wala hajakufanyia utafiti..!! Ni hulka za ujana tu ndo zinamuhangaisha. Hasa baada ya kusimuliwa na wengine
 
36m lakini najiona ni masikini sana tofauti na mleta mada anavuojiona Yuko vizuri
UMRI wake mzee,,hana majukumu na ndoto zake bado changa,, imagine anawaza auze asset aende marekani tu.
 
jaribu Gaza...
 
Wadogo zako kama wawili hivi?

Inamaana mkuu haujui idadi ya wadogo zako?

Maamuzi ni yako yote yawezekana kupata au kukosa na ukikosa usijutie mana umejifuza.
 

naomba tuwe marafiki
 
Kwahiyo huko kijijini kwenu ndo mliaminishwa kuwa doctor ndo anamshahara mkubwa sio? Mimi nina mtu namfahamu analipwa 5m+ na ni under 30,baki hivyo hivyo

Na wewe unalamba kiasi gani???
 
Fanya mpango uzamie Gambia
 
Nenda Gaza
 
Sawa, lakini je ni kweli kuwa wanawake huwa wanawafuata PM baada ya kuweka hizo ulizoziita “brag”?

Sina baya, nimekuwa tu interested kufahamu kama kweli hilo hutokea.
sijui kama huwa wanafuata watu PM ama laah,ila ninachojua wanawake wengi wavivu,tegemezi so akijua una chochote,rahisi kupatikana..so to flex ndio njia ya kuonesha I MADE IT

Kwako binafsi,,unaweza kuolewa na mwanaume ambae umemzidi kipato??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…