Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

Beti uone kama hilo pepo halijaondoka lenyewe!

Kuna siku huwezi simamisha mjuguna kabisa!

Chezea betting wewe!
 
Kuna nahau au methali inayosema dawa ya moto ni moto

Inamaanisha kitendo hicho hicho unachowafanyia hao milupo inabidi na wewe ufanyiwe ili upone

Yaani jilengeshe sehemu watu wengi wakuja kwa kukufanyia anal sex na wewe ndio utaacha

Kwa kukamilisha methali au nahau ya dawa ya moto ni moto
 

Una miaka mingap mkuu?.
Najua utakuwa hujaoa. Na age nadhan ni 20's.

Maana kuna muda na age flan na uwe na vijisent. Kijana wa kiume tunakuwa na moto sana. Na unataka ujaribu kila kitu. Ila sasa usipokuwa makini utapotea kabisa na utakufa kilo 20 mapema sana .

Cha kufanya hebu kaa chini na ufikirie kwa kina mwanamke wa type gan unamtaka.
Kuanzia rangi , makebo , umri nk nk. Andika vigezo vyako hata 10 then uwe unatongoza mwanamke mwenye 6/10 ya vigezo vyako.

Unalombaje kila mwanamke?. Una genye kubwa kias kila siku 4 ulombe?.Usiendekeze sana huo uloo. Utakucost.
 
Halina mwongozo hili, ila siku ukipigwa na jaruba la kutosha utarudi mstalini, ila inaweza ikawa majuto mjukuu
 
Apewe ushauri mazee hio hali inamuumiza na anatamani kutoka sio jambo jema kumuhukumu
 
maamuz n yako kama nkuacha acha maan ulpend mwenyew il K kuiacha noma lbd sjui ufanyaje
 
Nunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…