Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,954
- 4,389
The best comment.Kaa chini, chukua karatasi na kalamu piga hesabu ya pesa zote ulizopoteza kwa milupo ndani ya mwaka mmoja.
Ile pesa ungeiweka kwenye akiba au uwekezaji, ungekuwa wapi sasa hivi?
Unanunua sekunde chache za raha kwa gharama ya miaka mingi ya maendeleo yako.
Yani unabadilishana utajiri na uchafu.
Ukishindwa kuitawala hamu yako leo, kesho itakutawala na kukuacha ukiwa huna kitu, huna heshima, na pengine huna afya.