The best comment.Kaa chini, chukua karatasi na kalamu piga hesabu ya pesa zote ulizopoteza kwa milupo ndani ya mwaka mmoja.
Ile pesa ungeiweka kwenye akiba au uwekezaji, ungekuwa wapi sasa hivi?
Unanunua sekunde chache za raha kwa gharama ya miaka mingi ya maendeleo yako.
Yani unabadilishana utajiri na uchafu.
Ukishindwa kuitawala hamu yako leo, kesho itakutawala na kukuacha ukiwa huna kitu, huna heshima, na pengine huna afya.
Mzee wa NoFap uliishia wapi😁kwanza lipia tangazo
Koment zote ziishie hapa kwa huyu lastbornKama ambavyo uliamua ngono kuchukua nafasi kubwa kwenye maisha yako nguvu hiyohiyo itumie kutoka huko.
Dah kuna vitu siyo vya kushindana navyo kiongozi😁😁😁Mzee wa NoFap uliishia wapi😁
kabsa mkuu tunajilisha upepo sanaDah kuna vitu siyo vya kushindana navyo kiongozi😁😁😁