Nimechoka kupigwa Exile, maisha ya hostel yamenishinda

Atakuwa Ruco Iringa.
Hawa wajamaa wa Hosteli za Nkembo, KatiKaza na Kamuzora wanapigana sana exile.

Mimi nakumbuka mdada anakuja mchana anapigwa mashine mpaka jioni huku washkaji inabidi wakae pale nje kontena kwa dada Agi wakizuga na maji ya kilimanjaro
 
Shunista mbona umebadilika sana siku hizi?

Rudisha kumbukumbu zako nyuma yale mazuri yote tuluyoyafanya na ahadi kedekede tulizowekeana
nimeacha kumuombea yule nakuombea wewe shunie akuelewe
 
nimeacha kumuombea yule nakuombea wewe shunie akuelewe
fanya hivyo mkuu

Shunie amesahau yale mazuri yote tuliyofanya


Alikuwa ananisifia show zangu kuwa nzuri katika 6*6


Sijui siku hizi kapatwa na nini
 
Ishi vizur na wenzako, haiwezekani hostel nzima ikawa ni exile kila chumba.
 
Nipo njiani nakuja na Shemeji yako nisaidie kusafisha safisha ghetto mwanangu Shem wako asije akamaind! [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…