Nimechoka kupokea wageni

Dogo ameoa kipindi hata kudinda inawezekana ilikua bado[emoji23]
😂😂😂😂 eeh father benard
mi mwenyewe wa 2004 ila siwezi kulisha watu matango-pori kiasi hiki 😂
Sema dogo una akili kumzidi Johnnie Walker
[emoji23] Wewe wa 2004? Yaan humu kumbe kuna muda huwa tunajibizana na watoto wetu aisee naacha kuanzia leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 mwanao wa ngap huyo?
Mwaka huo niko secondary, dogo em uwe unasalimia wakubwa
😅 shangaziii
 
Ulifaa kua mchawi, maana una kipaji cha kua mchawi
Wasambaa acheni hayo mambo yenu mtu anaoa hata hamalizi miezi miwili mmeshajaa kwake ukifika mlangoni malapa yamejaa kama msikitini tutatoboa kweli? Kosa letu ni kuoa wasambaa au?
 
Kwanza wageni ni baraka. Endelea kuwapokea weka miradi hapo mfano mabanda ya kuku, bata, njiwa na kama uko nje wa mji weka pia ya mbuzi, ng'ombe na nguruwe. Anzisha bustani ya mchicha, kabechi, spinach na nyanya. Akikaa siku 2 ya tatu mpe kazi ya kufanya. Hao ni cheap labour. Ndani ya mwaka mmoja utanishukru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…