Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Marahaba dogohaya basi, shikamoo shangazii....😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba dogohaya basi, shikamoo shangazii....😂
umefurahi zako weee.... 😂Marahaba dogo
😂😂😂😂 eeh father benardDogo ameoa kipindi hata kudinda inawezekana ilikua bado[emoji23]
Sema dogo una akili kumzidi Johnnie Walkermi mwenyewe wa 2004 ila siwezi kulisha watu matango-pori kiasi hiki 😂
😂😂 mwanao wa ngap huyo?[emoji23] Wewe wa 2004? Yaan humu kumbe kuna muda huwa tunajibizana na watoto wetu aisee naacha kuanzia leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅 shangaziiiMwaka huo niko secondary, dogo em uwe unasalimia wakubwa
Sanaaaaaaa😂umefurahi zako weee.... 😂
Na wewe ni wa mwaka afmbili na ngapi?😂😅 shangaziii
Wasambaa acheni hayo mambo yenu mtu anaoa hata hamalizi miezi miwili mmeshajaa kwake ukifika mlangoni malapa yamejaa kama msikitini tutatoboa kweli? Kosa letu ni kuoa wasambaa au?Ulifaa kua mchawi, maana una kipaji cha kua mchawi
Kwanza wageni ni baraka. Endelea kuwapokea weka miradi hapo mfano mabanda ya kuku, bata, njiwa na kama uko nje wa mji weka pia ya mbuzi, ng'ombe na nguruwe. Anzisha bustani ya mchicha, kabechi, spinach na nyanya. Akikaa siku 2 ya tatu mpe kazi ya kufanya. Hao ni cheap labour. Ndani ya mwaka mmoja utanishukru.Hellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
Afu mbili jero 😅Na wewe ni wa mwaka afmbili na ngapi?😂
Mwanangu wa kwanza kama ningezaa mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh father benard
Sema dogo una akili kumzidi Johnnie Walker
[emoji23][emoji23] mwanao wa ngap huyo?
[emoji28] shangaziii
Sasa kwangu huyo ni mjukuu wangu wa kwanza kama binti yangu angeolewa mapema
Duuh! Muhenga mwenzangu [emoji2][emoji2]Sasa kwangu huyo ni mjukuu wangu wa kwanza kama binti yangu angeolewa mapema
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaage is just a number [emoji23] mbona huku mtaani mnatuhonga tuwashughulikie[emoji23]
Ila kwa wewe kwel unaonekana umekula chumvi nyingiAfu mbili jero 😅
Mi muhenga mwenzio au unanionaje?
Ndio uje kule uhengani 📩
Me too ningeacha shule nikiwa darasa la 6, huyo angekua mtoto wangu wa 2
Ila mambo ya wajukuu tena khaa wee umezidi uhenga [emoji23]Ndio uje kule uhengani [emoji395]
Shukrani sana nimekwepa mishale mingi sana hao kina mshamba_hachekwi ni wanangu kabisaIla kwa wewe kwel unaonekana umekula chumvi nyingi
Heshima yako muhenga mwenzangu😂