Nimechoka kupokea wageni

Kuna ka mserereko flani wanapata wakiwa kwako ...... na hii inatokana ma maisha duni kwa upande wa mkeo ...Dah... usipo fanya mamuzi ya kiume kazi unayo
 
Wapende wageni, hao ndio baraka kwako hujui tu, Maisha hayo nilipitia sana home, kauli ya mzee usimzarau usie mjua, wageni ni baraka, nyie watoto mtasemaje, ndo tulifundishwa kupenda watu.
 
Wageni ni baraka ila kuna mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema

"Afrika umaskini hautoisha kwa sababu maskini wanaoa maskini wenzao "
Na tajiri wanaoa tajiri wenzao🙏 suala la uwezo wa kiuchumi ni la muhimu sana katika kutafuta mwenza wa maisha ,watu hawajui tu,wanachukulia kiwepesi na kuona mostly wanawake kuwa gold diggers,ila suala la financial independency linamatter sana.
 
Roho hiyo utakua masikini mbaya sana,
 
🤣🤣Atawakimbiza wote
 
Nakushauri, tafuta wimbo wa Marehemu Mbaraka Mwishehe MWARUKA"CHOYO UACHE" utakusaidia saana.
 
😂😂😂😂 ngoja nifuge ase
Inawezekana umenzisha uzi wa kufurahisha kijiwe, lakini hili ni tatizo lililopo hasa uswazi. Nilikuwa nasikia haya kutoka kwa watu lakini likaja kunikuta. Na kama halijakukuta unaweza kudhani ni rahisi sana kulitatua kumbe hapana.... hasa kama una mke mwenye kichwa fyongo.
 
Hii ndio Africa ndio utamaduni inaonesha kbsaa kwako maisha safi kuliko Kwa shemeji yetu usipoangalia watazidi kuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…