Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Ila kuna ukweli kiasituko on demand watu wa early 20s na late teens [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna ukweli kiasituko on demand watu wa early 20s na late teens [emoji23]
Kama sijakosea utakuwa umeoa Kanda ya ziwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] Akikua ataelewa
[emoji23][emoji23] wazee wa kujilipuaWapo moto sana, imagine kuna new ID ilikuwa inamtongoza faiza foxy, tena imemuanzishia nyuzi kibao [emoji28][emoji28][emoji28]
kabisa mkuu wala si uwongo ,shida ya watu wengi kutaka kujifanya wemaKuna wengine watakunafkia hapa kujifanya wema sana ila kiukhalisia kwenye familia zao hata mgeni hakanyagi..!!
Ishi kulingana na budget iliyo ndani ya uwezo wako usitumie nguvu kubwa sana kuwafurahisha watu huku unateseka (mshumaa),
Habari mbaya ni kuwa at the end of the day baada ya kuwa hu-save wala kufanya maendeleo yoyote wewe ndiye utaonekana looser, hakuna mtu atakumbuka kile uli sacrifice kwa ajili yao..!! Shauri yako..!!
Mac Alpho
Acha ubinafsi hata wewe ulisaidiwa ukafika hapo
Vijana wanapenda slope sana, ndio tatizo hiloImagine 😅😅😅.
Alaf sio Uzi mmoja, nyuzi kama tatu hivi
Wazee hawavai high hills mrembo 😅
Ha haa umenikumbusha kaka (cousin) yangu mmoja aliwafanyia hivyo shemegi zake.
Yeye alikuwa ni mpiga maji mzuri sasa kila siku akirudi nyumbani kumejaa wageni mashemegi. Matokeo watoto wanalala ukumbini na mashemegi wanajitanafasi chumba cha watoto. Nyumba zenyewe za Dar vyumba viwili.
Siku moja aliamua kwenda kuuchapa vizuri na alipofika nyumbani mlangoni alianza kuwashambulia kwa maneno makali, kwa nini hawakai makwao kwa waume zao au wazee wao wanakuja pale kumjazia nyumba. Wale mashemegi walichukia sana na siku ya pili walifunga virago kurudi makwao.
Mke wake pia alijifanya kuchukia lakini alimwambia kama unaona mimi nimekosea na wewe funga virago uelekee kwenu, ikabidi mama anyamaze tu. Basi tokea siku hizo nyumba ile walikuwa wakiipisha kwa mbali sana.
Hii alinihadithia mwenyewe nikamuuliza kama alijisikia vibaya kwa kuwatimua mashemegi kivile. Aliniambia nilikuwa sina jinsi bajeti ilikuwa haitoshi tena ikabidi nijitoe akili ili mambo yangu yaende.
Ipi hiyo?Kwahyo siku zile pale selfika mkanichezea cheusi chekundu?
Kwahiyo wewe sio yule uliekua umekalia mtumbwi? Niiweke ?
Sijapenda 😅
sasa unakuta kijana ana miaka 16 hajawahi hata kuiona chupi😂 akiona kiavatar, basi anachanganyikiwa😂Vijana wanapenda slope sana, ndio tatizo hilo
[emoji23] si tunapigia tu pichaWazee hawavai high hills mrembo [emoji28]
Wanatembea kwa nguvu ya upepo kama bendera yani 😅😅
NItaiweka kule maeneo.Ipi hiyo?
Em iweke nithibitishe maana mshangazi mimi kumbukumbu zinanipa shida🤣
Ile ni zaidi ya slope aisee. Maana ni mjukuu wake kabisa 😅😅Vijana wanapenda slope sana, ndio tatizo hilo
Wazee hawapigi miguu picha ni sura 😂
na mimi kwa upande wangu naona mashangazi ni wazuri sana, drama za vidada vya 2000s ni fungakazi 😂
Mtoa Uzi utakuwa mchaga sio Kwa roho mbaya hivo,,, wachaga ndo wenye roho ya kwanini na uchoyo plus ukabila na hawataki kabisa ndugu wa mwenza wake waje
[emoji1787] alaf picha zao pua ndio inajaa picha nzmaWazee hawapigi miguu picha ni sura [emoji23]