mtegemea Mungu
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 290
- 507
Gogo
Waha
Nyamwezi
Hawa watu wanaushirika sana
Usisahau rais wao ni msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gogo
Waha
Nyamwezi
Hawa watu wanaushirika sana
Umeoa msambaa nini?
We cha kufanya hapo ni kununua shamba moja kubwa kinyama na majembe ya mkono wakija hata kiangazi ni kuwajaza shambani wakapalilie hata yale majani yanayoitwa mashona nguo
Halafu suala la msosi usipike msosi wa sherehe man hapo ndo unakwama pilau ya nini sasa? Hapo pika ngumu kumeza mboga maji Mingi mchicha nne ili mradi tu maji yawe ya kijani kama chai wanatoezea tonge la ugali imeisha hiyo
Uone kama Kuna mtu atakaa hapo
Na ndio maana wameendelea lbd kuzif makabila yote hawa jamaa na mara nyingi wanaoa wahaya sababu ni wabinafsi wenzao na hawataki tegemezi la kupitiliza, Africa hatuendelei sababu ya tegemezi...ni too much na cha maana hakuna zaidi ya kurudishwa nyuma kimaendeleo na kufitiniwa tu...julikutenroho nzuri sana tuone km hutakufa maskini! Kila kitu kiwe na kiasi
Enzi hizo tukiwa wadogo mzee alikuwa amejenga karibu kabisa na stand ya mabasi ya mkoa, basi ilikuwa hazipiti wiki kadhaa bila kuwa na wageni pale nyumbani, wengine walikuwa wakifikia pale ili kujiandaa na safari zao, wengine walifikia pale wakitoka kwenye safari zao, waijazana sana pale.
Mzee alipofariki sasa, wageni wakapungua, hata wakiwa na safari waliona wawe wanalala kwenye lodge badala ya kupita pale, nadhani walihisi kuwa hakuna raha watapa tena pale zaidi ya kuhitajika labda kusaidia (kitu ambacho hakikuwa uhalisia vile kutona stable economy iliyokuwepo ila ni mama aliamua kuwapiga PIN tu[emoji1]).
Ndugu na jamaa watamiminika kwake wakijua kuna vitu watafurahia, the moment huo mrija umekatika hatawaona na watamcheka.
Eeeeh kina NgoshaUsisahau rais wao ni msukuma
Bila roho mbaya hutoboi ukioa kwenye hilo kabila ukajifanya baba wa Iman utapika ugali pipa 13Dah umeniwahi, watu wa tanga na wasukuma ni keroooo, na ni wanafki ukiwa nacho utawaona usipokua nacho hutakaa uwaone kamwe! Wa nini sasa? Fukuza
Mkuu hili kama halijakufika au kumfika mtu wa karibu unaposema watu hawatakuelewa na kauli zao zitakuwa acha roho mbaya ,ila hawajui wema ukizidi sana ni hatari maana unaweza jitoa kwa watu matokeo yake hao hao uliojitoa kwao wasione na unapoyumba wakawa wakwanza kukucheka
Mhhh sawa, umasikini hawezi kuisha Afrika ukitaka kujikongoja kidogo ndugu haooooHellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
Eeeeh kina Ngosha
kabisa mimi haya nimeona kwa mzee wangu ,alivyokuwa na pesa zake watu walikuwa hawakauki nyumbani ,ila baada mzee kuyumba mpaka bi mkubwa ana lalamika hakuna anayekwenda hapo home,mimi mpaka nimekuwa na maisha yangu huwa sipendi mazoea na ndgu na hasa mnaotaftana baada ya kuwa na maisha ya afadhali ,Si bora wacheke watanyamaza my dear, kuna wengine ndio wanakua chanzo cha wewe kuanguka kabisa
Bila roho mbaya hutoboi ukioa kwenye hilo kabila ukajifanya baba wa Iman utapika ugali pipa 13
😂😂 macho wanafanya kama wanasoma maandishi madogo
kabisa mimi haya nimeona kwa mzee wangu ,alivyokuwa na pesa zake watu walikuwa hawakauki nyumbani ,ila baada mzee kuyumba mpaka bi mkubwa ana lalamika hakuna anayekwenda hapo home,mimi mpaka nimekuwa na maisha yangu huwa sipendi mazoea na ndgu na hasa mnaotaftana baada ya kuwa na maisha ya afadhali ,
Haahaa .soon naamini utaomba hela ya pombe humu humu.🤣🤚Nataman niwanywee pombe
Vijana mtakufa siku si zenu ohoo😂sasa unakuta kijana ana miaka 16 hajawahi hata kuiona chupi😂 akiona kiavatar, basi anachanganyikiwa😂
mbussu ina ushawishi mkubwa 😂 ukishaijua tu kazi yake.... bas hauko salama😂Vijana mtakufa siku si zenu ohoo😂
Eti jamani, hata aibu haoni khaIle ni zaidi ya slope aisee. Maana ni mjukuu wake kabisa 😅😅
Naiomba niwekee saivi na moyo wangu utapoaNItaiweka kule maeneo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakikisha hapo kwako kuna kazi za kutosha kama kuosha mabanda ya mifugo,kukata nyasi za mifugo,tafuta mashamba huko nje ya mji uwe unawapeleka kulima na kupanda
Okoka na muwe mnasali karibia masaa mawili kabla ya kwenda kulala iwe kila siku na lazima kila mtu awepo wakati wa kusali hata kama ni mgonjwa,tv weka chumban kwako,sebuleni liwepo sabufa la kupiga nyimbo za injili tu
Ukishindwa kabisa hayo yote,anza kuwala ndugu za mkeo kwa siri,ili ufaidi chakula chako
Fanya yote hayo afu unipe mrejesho