Nimechoka kupokea wageni

Nimechoka kupokea wageni

Yaani mkuu, kuna msemo unasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ukiendekeza mandugu na kutaka kuonekana mwema maendeleo utayasikia kwa jirani! Ni wanafki na washirikina wakutaka ufeli wacheke...achana nao jali familia yako tu, wwo wape kiasi na wasikuzoee watapeana taarifa tu.
kabisaa hili nakuunga mkono ,wacha wakuone una roho mbaya lakini yako yanakuendea ,Saidia kwa kiasi unachoweza
 
Afrika extended family inatuumiza sana kiuchumi, nimebahatika kuishi kidogo Malawi, Mozambique na Swaziland kote huko hii mifumo ya extended family imetawala ndio maana umasikini umejaa.

Familia zetu mmoja akipata watu wote umtegemea na uhamia kwake kisa upatikanaji wa chakula na malazi ni rahisi, umasikini hautaisha afrika kwasababu unaanzia katika ngazi za familia zetu ambazo bado zina fikra za utegemezi kwa mwenye nacho hii yote sababu ya uvivu na ukosefu wa fikra za kujitegemea, ndugu zetu wengi wanapenda kitonga tunapenda mambo rahisi.

#Imagine; nina mahusiano na raia wa kigeni lakini ndugu zangu wanakomaa atatenga familia nisioe, , hawatoweza nitembelea nk.
Yote sababu ya mazoea ya kumtembelea na kuhamia kwa mtu.
 
Ukiona hivyo ujue kwako una maisha mazuri kuliko kwa mkeo,hao wanasimuliana raha za kwako wakiondoka kwahiyo watazidi kuja tena na tena. Kama hawajitambui kazi unayo.
Huko ni kujiendekeza tu. Kabla ya kuolewa dada yao walikua wanaishije, maisha magumu sasahiv WAGEN ambao hawana moangilio sio fresh na Wala sio roho mbaya

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Shida sio wageni shida ni laana ya umaskini inakutafuna. Unaishije ishije kama unaumia wakija wageni? Maisha ni kufurahi.
 
Back
Top Bottom