Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #341
Uchoyo unahusiana na umasikini na roho mbaya.
Sawa kwahiy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchoyo unahusiana na umasikini na roho mbaya.
kabisaa hili nakuunga mkono ,wacha wakuone una roho mbaya lakini yako yanakuendea ,Saidia kwa kiasi unachowezaYaani mkuu, kuna msemo unasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ukiendekeza mandugu na kutaka kuonekana mwema maendeleo utayasikia kwa jirani! Ni wanafki na washirikina wakutaka ufeli wacheke...achana nao jali familia yako tu, wwo wape kiasi na wasikuzoee watapeana taarifa tu.
Lenie mbona umenikamia hivyo??[emoji23] Hii simu ni yangu, siko likizo mimi ni mwanachuo.....Vya kuazima ndio shida zake hizo[emoji23]
Kama saivi hayupo, atarudi tena kesho hiyo
Mapema hivo....[emoji23]Nilikumiss best[emoji28]
EehMapema hivo....[emoji23]
mi nipo nakula zangu ujana 😂si unajua tena uhandsome, na vitu vingine.....😂
Hahaa hongera sana, maisha ni haya haya enjoyyy kijanami nipo nakula zangu ujana 😂si unajua tena uhandsome, na vitu vingine.....😂
Huko ni kujiendekeza tu. Kabla ya kuolewa dada yao walikua wanaishije, maisha magumu sasahiv WAGEN ambao hawana moangilio sio fresh na Wala sio roho mbayaUkiona hivyo ujue kwako una maisha mazuri kuliko kwa mkeo,hao wanasimuliana raha za kwako wakiondoka kwahiyo watazidi kuja tena na tena. Kama hawajitambui kazi unayo.
Kila siku nawaonya jengeni nyumba ndogo sana hamtaki
Huko ni kujiendekeza tu. Kabla ya kuolewa dada yao walikua wanaishije, maisha magumu sasahiv WAGEN ambao hawana moangilio sio fresh na Wala sio roho mbaya
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile ap