Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Unacho kitaka wewe ni connection maalumu.
Nakifupi nikwamba ushafanya uganga sana ila bado hujaambulia kitu.
Sasa nacho weza kukusaidia ninjia bora yenye maamuzi makubwa hii njia niyakufungua jicho latatu ambalo utaweka nguvu hapo najuhudi ili uweze kupata vitu hivo unavo kusudia kupitia maono yandani mwako.
Ila inakutaka kichwa kiwe timamu najasili katika kile nintakacho kuelekeza.
Chukua namba hapo.
 

Attachments

  • IMG_20240510_093724_377.JPG
    116.9 KB · Views: 8
Siku zote ndivyo ilivyo ukitaka ndoa idumu upate wa kufanana naye.
Kuna wanandoa mume alikuwa jambazi akapata mke naye kaxi kinyama, unaambiwa wakiwa wanavamia mke ndio anashika SMG mume anakusanya maokoto.

Mwingine mume tapeli akapata mke naye dada wa town mjanja mjanja akawa akienda kupiga deals za kiskama anamtanguliza mke front wanapiga mkwanja fresh tu.

Kwahiyo hiz mambo inatakiwa mfanane ndio mtatoboa, huwezi kuwa unajitafuta huku una slay queen lazima utafute mchawi wako nani?
 
Gram 500 ni ndogo mkuu?

Ukitaraji gram 500 ukapata gram 150 utarudisha gharama?
Hicho ndo kinatukuta wenzio,

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
Siwezi kupata gram 150 mkuu, napima carbon kabla sijaipandisha kwa hiyo najua nimepandisha nini? Na nikishusha napima nijue zimebaki ppm ngp?

Mkuu, using'ang'anie mbeya wakati kuna machimbo kibao tu Tanzania watu wanapiga hela, nenda hata shinyanga kafanye utafiti sehemu moja inaitwa nyandolwa.

Tafuta watu wenye uzoefu ungana nao upige kazi. Ukipata uzoefu wa kutosha , anza kupambana mwenyewe mkuu pesa ipo usikate tamaa.
 
Sawa mkuu,

Lkn mkuu kuna namna mnaficha code

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 

Huu ujinga mnasomea wapi?

Tumia uchawi madini yatokee ghetto kwako.
 
Kuna mgodi mkubwa wa wachina uko Makongorosi , mara kwa mara huwa wanachinja mbuzi wanaweka kwenye vizimba vyao wanachoma na madawa madawa,

Anyway, idea yako ni nzuri unaonaje ukiifanyia kazi huoni kama utapiga hela?

Kama unaamini lazima uwe mshirikina kutoboa umasubiri nini hadi Leo kwenda kwa mganga?
 
Mlifanyaje kukabiliana na changamoto kama hizi
Binafsi issues za ushirikina zilinishinda nikakubali yaishe, nimefanya kazi migodi kadhaa kwenye mikoa tofauti, hata mlio wa kakola namba 9 na namba 2 nilikuwepo, tulikuwa tunaenda kusaga mawe kule nyamalapa, hata kitunda tabora nilikuwepo, na sijawahi kuona dhahabu nzuri kuzidi ya kitunda.
 

Cha kushangaza hana gari dah! Yaani anaharibu million 40, na hana gari hata la raki 3. Mimi huo ujinga sifanyi.

40M kwenye madini tena kwa miaka 3 ni hela ndogo sanaaaaa. Kama alidhani ataweka 40M apate 1B alikua anajidanganya. Unavuna kile ulichopanda. Nachelewa kusema alikua anacheza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…