Kuna misitari ya Stamina ShorobwenziKama unaamini lazima uwe mshirikina kutoboa umasubiri nini hadi Leo kwenda kwa mganga?
Ulishawahi chimba dhahabu Tanga ?Nenda kajaribu tanga kuna migodi mizuri zaidi
Sawa mkuu. NashukuruNitakutafuta tupige kazi
Duh! Achaneni na haya mambo. Inasikitisha mpaka miaka hii bado tunaamini vitu kama hivi. Barrick Gold na hayo makampuni mengine pia wemetumia waganga kufika hapo walipo?Pole, usikate tamaa siku yako ipo ila uchawi unao ? Wanasema huko had uwe mchawi,tafuta m,Moja umtoe kafara mkuu
Tatizo la huyu jamaa anaangushwa na makampuni yanayofanya vipimoMilioni 40 ungewekeza kwenye biashara nyingine saa hii ungekuwa unahesabu faida ya ya laki tatu au nne kwa siku.
Hizi biashara hazifanywi kwa kubeti zinataka utaalamu mzuri wa miamba ambao utaweza kukuonyesha mahala madini yalipo. Vifaa vya kisasa vipo na vinakusaidia kuona madini yalipo. Nadhani unatakiwa kujipanga upya kwenye hii kazi.
Hpn ila nafahamu tanga yapoUlishawahi chimba dhahabu Tanga ?
Kweli kabisa mkuu. Milioni 40 kwenye madini ni kitu kidogo sana sana. Ni kugusa tu.Pole boss, wengi wame kushauri vema. Kikubwa usikate tamaa, kila kazi inachangamoto zake. Hasara ya 40mil kwenye madini ni hasara ndogo sana, ni kugusa tu. Inshort bado haujapata hasara ingawa haitakiwi upate hasara.
Tafuta wazee ambao ni wenyeji na ulipo, watakupa muongozo wa wapi uende / ufanye nini / umuonenani. Hiyo biashara ni kama biashara zingine tu. Cheza miguu yote. Kila pori na mizimu yake usiende hovyo kutafuta code bila muongozo wa wenyeji.
Hamna kukata tamaaKweli kabisa mkuu. Milioni 40 kwenye madini ni kitu kidogo sana sana. Ni kugusa tu.
Yupo mwamba mmoja humu ndio mtu wa kwanza humu kuonana nae ana kwa ana. Huyu jamaa aliiingia hasara kubwa naamini inaweza kufikia milioni 150. Hakukata tamaa,akaendelea kupambana. Hivi juzi kanipigia anapeleka soko kilo zisizopungua 3 za dhahabu. Hapo unazungumzia gram 1 inasoma laki 184 mpaka laki 2 kwa mzigo mkubwa kama huo.
Kavumilia ameanza kula matunda. Na mwamba anaoendelea nao kwa sasa ni matunda tu. Hasara alishaifukia kitambo. Sasa hivi anaweka 4 tu anatikisa miguu
Mkuu we unachimbia chunya au upo wapi ?Kweli kabisa mkuu. Milioni 40 kwenye madini ni kitu kidogo sana sana. Ni kugusa tu.
Yupo mwamba mmoja humu ndio mtu wa kwanza humu kuonana nae ana kwa ana. Huyu jamaa aliiingia hasara kubwa naamini inaweza kufikia milioni 150. Hakukata tamaa,akaendelea kupambana. Hivi juzi kanipigia anapeleka soko kilo zisizopungua 3 za dhahabu. Hapo unazungumzia gram 1 inasoma laki 184 mpaka laki 2 kwa mzigo mkubwa kama huo.
Kavumilia ameanza kula matunda. Na mwamba anaoendelea nao kwa sasa ni matunda tu. Hasara alishaifukia kitambo. Sasa hivi anaweka 4 tu anatikisa miguu
Kuna issues nataka kukuliza inboxKweli kabisa mkuu. Milioni 40 kwenye madini ni kitu kidogo sana sana. Ni kugusa tu.
Yupo mwamba mmoja humu ndio mtu wa kwanza humu kuonana nae ana kwa ana. Huyu jamaa aliiingia hasara kubwa naamini inaweza kufikia milioni 150. Hakukata tamaa,akaendelea kupambana. Hivi juzi kanipigia anapeleka soko kilo zisizopungua 3 za dhahabu. Hapo unazungumzia gram 1 inasoma laki 184 mpaka laki 2 kwa mzigo mkubwa kama huo.
Kavumilia ameanza kula matunda. Na mwamba anaoendelea nao kwa sasa ni matunda tu. Hasara alishaifukia kitambo. Sasa hivi anaweka 4 tu anatikisa miguu
Nilipumzika mkuu. Kwa sasa nipo najaribu kujitafuta upya , baada ya kupoteza hiyo 89. Nikaona ngoja nirudi nijipange.Mkuu we unachimbia chunya au upo wapi ?
Karibu mkuuKuna issues nataka kukuliza inbox
Japo inbox ya hii JF mpya kama inazingua fulani hivi kuipatia. Au sijui mimi tu sijaimaster...!Kuna issues nataka kukuliza inbox
Aisee poleNilipumzika mkuu. Kwa sasa nipo najaribu kujitafuta upya , baada ya kupoteza hiyo 89. Nikaona ngoja nirudi nijipange.
Ila nilikuwa chunya ndio na vyombo vyote kalasha vyote bado vipo chunya,japo mashine nilimuachia aendelee nayo mshikaji wangu mmoja nilimuachia hapo kambini.