Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Ni kwa namna gani ana ficha hizo code?

Jamaa kakupa ushauri mzuri kabisa, nimesoma uzi wako na michango ya wadau wote. Mpaka mwisho nimegundua wewe unataka connection ya kwenda kwa mganga, maana unapewa ushauri tofauti na huo una kaza fuvu kuwa kuna mahala wanaficha. Wewe sema unataka connection ya mganga upewe.
Sawa mkuu,

Lkn mkuu kuna namna mnaficha code

Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
 
Pole, usikate tamaa siku yako ipo ila uchawi unao ? Wanasema huko had uwe mchawi,tafuta m,Moja umtoe kafara mkuu
Duh! Achaneni na haya mambo. Inasikitisha mpaka miaka hii bado tunaamini vitu kama hivi. Barrick Gold na hayo makampuni mengine pia wemetumia waganga kufika hapo walipo?
Kama wataalamu wamekuja kufanya vipimo halafu kwenye kuchimba unapata matokea ambayo yanatofauti kubwa sana na vipimo na bado unarudi kwa hao wataalamu tena, unategemea nini?
 
Milioni 40 ungewekeza kwenye biashara nyingine saa hii ungekuwa unahesabu faida ya ya laki tatu au nne kwa siku.

Hizi biashara hazifanywi kwa kubeti zinataka utaalamu mzuri wa miamba ambao utaweza kukuonyesha mahala madini yalipo. Vifaa vya kisasa vipo na vinakusaidia kuona madini yalipo. Nadhani unatakiwa kujipanga upya kwenye hii kazi.
Tatizo la huyu jamaa anaangushwa na makampuni yanayofanya vipimo
 
Pole boss, wengi wame kushauri vema. Kikubwa usikate tamaa, kila kazi inachangamoto zake. Hasara ya 40mil kwenye madini ni hasara ndogo sana, ni kugusa tu. Inshort bado haujapata hasara ingawa haitakiwi upate hasara.
Tafuta wazee ambao ni wenyeji na ulipo, watakupa muongozo wa wapi uende / ufanye nini / umuonenani. Hiyo biashara ni kama biashara zingine tu. Cheza miguu yote. Kila pori na mizimu yake usiende hovyo kutafuta code bila muongozo wa wenyeji.
Kweli kabisa mkuu. Milioni 40 kwenye madini ni kitu kidogo sana sana. Ni kugusa tu.

Yupo mwamba mmoja humu ndio mtu wa kwanza humu kuonana nae ana kwa ana. Huyu jamaa aliiingia hasara kubwa naamini inaweza kufikia milioni 150. Hakukata tamaa,akaendelea kupambana. Hivi juzi kanipigia anapeleka soko kilo zisizopungua 3 za dhahabu. Hapo unazungumzia gram 1 inasoma laki 184 mpaka laki 2 kwa mzigo mkubwa kama huo.

Kavumilia ameanza kula matunda. Na mwamba anaoendelea nao kwa sasa ni matunda tu. Hasara alishaifukia kitambo. Sasa hivi anaweka 4 tu anatikisa miguu
 
Hamna kukata tamaa
 
Mkuu we unachimbia chunya au upo wapi ?
 
Kuna issues nataka kukuliza inbox
 
Mkuu we unachimbia chunya au upo wapi ?
Nilipumzika mkuu. Kwa sasa nipo najaribu kujitafuta upya , baada ya kupoteza hiyo 89. Nikaona ngoja nirudi nijipange.
Ila nilikuwa chunya ndio na vyombo vyote kalasha vyote bado vipo chunya,japo mashine nilimuachia aendelee nayo mshikaji wangu mmoja nilimuachia hapo kambini.
 
Aisee pole
 
Back
Top Bottom