Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko theoritical sana hayo mambo hayaendi kisomi kama unavo fikilia njoo migodini ujionee watu wanagundua madini bila hizo theory
Kwa hiyo hapo umeona neno kipimo tu mate?Kipimo gani ofsa?
Unazungumzia kitu kama hiki?
View attachment 2985797
Hicho kipimo cha milion 10 ni level za GMT (pichani) ambacho sio mchongo kabisa na siku hizi hakifai hata kwa survey.
Uchimbaji wa madini wa mdau ni wa karasha wa kudili na mawe maana yake hayo mavipimo kwa shughuli yake ni useless
View attachment 2985798
View attachment 2985799
Badilisha kitengo we kuwa dalali au mlanguzi,nunua na kuuza tu hakuitaji ndagu[emoji26][emoji26][emoji26]
Nipe mwongozo tunaanzia wapi?
Mkuu uchimbaji mkubwa una gharama sana, unahitaji kuwa na fedha nyingi piaNdio shida yenu wachimbaji wadogo....ujuaji mwingi hivi unadhani Migodi mikubwa kama GGM,Barrick kuwa na maexpert wa kutosha na advanced tools ni wajinga....wewe kama unachimba loko na unapata faida basi jua unajichelewesha sana mkuu....acha kudharau taaluma za watu.
Pole, usikate tamaa siku yako ipo ila uchawi unao ? Wanasema huko had uwe mchawi,tafuta m,Moja umtoe kafara mkuuWanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika shughuli hii.
Huwa nnajitahidi kupima miamba kila hatua kama inavyoshauriwa lkn matokeo mara zote huwa kinyume na matarajio,
Mfano unaweza kupima mwamba ukaambiwa ni wastani wa ppm 8 lkn unachokuja kukipata ni wastani wa ppm 1
Wadau wengi hawataki kutoa siri ya wapi wanapitia ili kuhakikisha kile wanachotakiwa kukipata wanakipata,
Tafadhali sana, mwenye kujua namna nnaweza kupata msaada wa kweli tafadhali msaada hapo PM
Anza kwenda KWA babu ndo uende huko mgodi utatema,hao wenzyo hawawez kukuambiaSina mkuu, ndo nnatafuta
Si km hivyo mgodi hautemi, wenzio wameichafua nyota majini hayakuelewi. Hayo madini hayapatikani hovyo utapata hizo hizo ndogo ndogo za kuvimbia kitaa ila za kumiliki bus km wenzio kina Sauli utazisikia kwenye bomba.Unatumia kigezo gani kujua tatizo ni nyota?
Kuna uwezekano mkubwa ukawa ni mdogo wangu,Niko kwenye madini sina uzoefu kivile lakini mambo ni zaidi ya uyajuavyo.... Hiyo losi uliyokula ni ndogo sana kwenye hii field nakushauri mdogo wangu anza kununua mifuko kama mtaji wako ni mdogo au kama una mtaji mkubwa nunua dhahabu kamili kawauzie ma tycoon wa kazi,,,, ukishindwa kuna wakubwa wa kazi wanaijua migodi yote Tanzania hii tafuta connection uwe unapewa pesa na kwanunulia mzigo ndani ya hiyo pesa utajua jinsi ya kujiongeza.
😁😁😁 Aangushe m, MojaSi km hivyo mgodi hautemi, wenzio wameichafua nyota majini hayakuelewi. Hayo madini hayapatikani hovyo utapata hizo hizo ndogo ndogo za kuvimbia kitaa ila za kumiliki bus km wenzio kina Sauli utazisikia kwenye bomba.
Toa kafara upige mshindo bulaza unafeli wapi weye? Safisha nyota hiyo mgodi uteme
Sawa mkuu, any idea sehemu pa kuanzia?Si km hivyo mgodi hautemi, wenzio wameichafua nyota majini hayakuelewi. Hayo madini hayapatikani hovyo utapata hizo hizo ndogo ndogo za kuvimbia kitaa ila za kumiliki bus km wenzio kina Sauli utazisikia kwenye bomba.
Toa kafara upige mshindo bulaza unafeli wapi weye? Safisha nyota hiyo mgodi uteme