Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Naona una hamu ya kutapeliwa visenti vyako![emoji26][emoji26][emoji26]
Nipe mwongozo tunaanzia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona una hamu ya kutapeliwa visenti vyako![emoji26][emoji26][emoji26]
Nipe mwongozo tunaanzia wapi?
Aseme suuu tumpe connection 😅😁😁😁 Aangushe m, Moja
😁😁😁😁Aseme suuu tumpe connection 😅
Nilienda kichwa kichwa kwenye uvuvi kilichonipata acha tuu.Migodini na ziwani bila ndagu,kafara hutoboi
Mambo km hayo hayatolewi hadharani mkuuSawa mkuu, any idea sehemu pa kuanzia?
Jamaa mmoja aliwahi kusema mizizi ina kazi nyingi,Usizungumzie usichojua Mkuu. Dunia Ina Siri kubwa. Na ukumbuke ufreemason wa kuabudu shetani haujaanza na mwafrika umetoka huko huko kwa hao unaoamini Wana teknolojia. Connect dots
Basi tulia hapo hapo ila huko migodini kunataka damu ya mnyama mtuKuangusha mtu hapana, bora wanipe miaka ya kuishi tu
Sasa ningekwambia kitu ambacho sijawahi kukiexperience? We vipi budaWw umewahi?
Si umtoe huyo ili aje kutunza wenzie utakaozaaMmmh hapana mkuu, mtoto mwenyewe nnae mmoja tu ndo roho yangu
Waganga wangekuwa wanajua dhahabu ilipo, wangekuwa wameshatajirika.Nenda kwa waganga utoe kafara utafanikiwa izo mishe haziji kizembe zembe tu utakaa hapo hata miaka 10 hupat kitu