Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Usizungumzie usichojua Mkuu. Dunia Ina Siri kubwa. Na ukumbuke ufreemason wa kuabudu shetani haujaanza na mwafrika umetoka huko huko kwa hao unaoamini Wana teknolojia. Connect dots
Jamaa mmoja aliwahi kusema mizizi ina kazi nyingi,

Kwa bahati wazungu waliwahi kujua uwezo wa mizizi na kazi zetu kuliko sisi na hawataki tujue
 
Milioni 40 ungewekeza kwenye biashara nyingine saa hii ungekuwa unahesabu faida ya ya laki tatu au nne kwa siku.

Hizi biashara hazifanywi kwa kubeti zinataka utaalamu mzuri wa miamba ambao utaweza kukuonyesha mahala madini yalipo. Vifaa vya kisasa vipo na vinakusaidia kuona madini yalipo. Nadhani unatakiwa kujipanga upya kwenye hii kazi.
 
Back
Top Bottom