Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

 
Mkuu uchimbaji mkubwa una gharama sana, unahitaji kuwa na fedha nyingi pia
 
Pole, usikate tamaa siku yako ipo ila uchawi unao ? Wanasema huko had uwe mchawi,tafuta m,Moja umtoe kafara mkuu
 
Niko kwenye madini sina uzoefu kivile lakini mambo ni zaidi ya uyajuavyo.... Hiyo losi uliyokula ni ndogo sana kwenye hii field nakushauri mdogo wangu anza kununua mifuko kama mtaji wako ni mdogo au kama una mtaji mkubwa nunua dhahabu kamili kawauzie ma tycoon wa kazi,,,, ukishindwa kuna wakubwa wa kazi wanaijua migodi yote Tanzania hii tafuta connection uwe unapewa pesa na kwanunulia mzigo ndani ya hiyo pesa utajua jinsi ya kujiongeza.
 
Unatumia kigezo gani kujua tatizo ni nyota?
Si km hivyo mgodi hautemi, wenzio wameichafua nyota majini hayakuelewi. Hayo madini hayapatikani hovyo utapata hizo hizo ndogo ndogo za kuvimbia kitaa ila za kumiliki bus km wenzio kina Sauli utazisikia kwenye bomba.

Toa kafara upige mshindo bulaza unafeli wapi weye? Safisha nyota hiyo mgodi uteme
 
Kuna uwezekano mkubwa ukawa ni mdogo wangu,

Risk ya biashara ya kununua na kuuza dhahabu nnaijua vizuri sana,

Ila nimechagua hii na mimi nnataka kujua zaidi, nnamini ntafanikiwa iwe kwa jua au mvua
 
😁😁😁 Aangushe m, Moja
 
Sawa mkuu, any idea sehemu pa kuanzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…