Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

Mkuu biashara gani dar hi uwekeze 40m upate faida ya 400k to 300k kwa siku naomba unitajie hiyo biashara.
 
Kwa miongo yangu 3 plus niliyoishi .....mtu akifanikiwa sana..sana Kuna mawili. .... Uchague fungu wa Mungu au Giza sadaka Yako unaipeleka wapi? Watu hawasemi Siri hii ila ni ukwl....mara chache Kuna wenye.bahati tu...
 
Akili za graduate 😂😂😂..
 
Aloo safi sana kijana.
 
Naibili Pesa au mafanikio Yana code nyingi sana na wanaopata huwa hawatoi code zao. Mchakato huo wa madini ni kama kubet vile lakini kama unataka mchakato wa hela nzuri ni PM nikuelekeze ujaribu na wewe bahati yako. Yote haya tunayoyahangaikia ni kuwa na ustawi wa kifedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…