Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Karibu kwanye Mining IndustryUnatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamu
Binafsi nakushauri mkuu jitahidi kufanya kazi na wataalamu na kuna kamashine kanauzwa milioni 10 nako hutumika kudetect madini aina mbali mbali.Tembea depertment za UDSM na UDOM utawapa wataalamu wa kutosha au nenda GST.
Chunya kuna reserve kubwa sana ya dhahabu so jitahid ufanye kisasa boss
Binafsi nasomea mineral exploration and mining geology.Namaliza mwakani