Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!


Tatizo la watoto waliozaliwa Dar na kukulia Dar ndio ilo. Nendeni kusalimia vijijini at least once per year mtazoea mazingira.

Watu ndio maisha yao yote yako hapo na hakuna pa kwenda bora wewe utakuja Dar likizo.

Hacha mapepe fanya kazi tumikia taifa, tunataka kurudisha mkopo uliochukua maana wadogo zako wanahitaji kusoma pia.

Pole lakini maana unafika sehemu wewe ndio mjanja peke yako.

Ilinitokea 2000
 

umeongea la maana!! Ila sasa ishu ni jinsi ya kuendesha hiyo biashara mana hapo mjini itanihusu na mkoa pia na huwa wanasema ili ujue faida uwe unasimamia mwenyewe sasa na hili pori langu mmmmh! Nimekunote !! Ntafikiria!
 
Babu Asprin hebu aje kusaidia hapa.. Maana alijitolea kuhakikisha mjukuu wake Munkari hapati matatizo..
 
Last edited by a moderator:
 

Ungesoma BBA sasa....vumilia tu.
 
mmmmmh may be ila sijui ka ntakuelewa!! Ngoja nikubali kwa shingo upande!!

Subira yavuta hero binti. mie ubishi wangu ulinisaidia last year kutopangiwa porini baada ya DEO kunitupa porini nikamwambia siendi. Nikaambiwa nirudishe pesa yao nikawaambia nitaitumia kwa nauli ya kurudia kwetu. Ulifanya kosa kwenda place hilo bila kulijua kiundani. Mimi niliumia sana kusikia sie wakuja ndio tuende pori afu wazawa wabaki wilayani wkt wote ni waajiriwa. Nashukuru Mungu kwa jeuri yangu sehemu niliyopo name jiji(mwnz) ni kugusa tu.
 
Basi komaa tu au njoo tufundishe matwisheni mjini humu tubanane
 

Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......
 
Cha msingi vumilia ila within a year fanya mishe uhame hakuna Jambo gumu
 
Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......

Private nao wanaangalia vyeti siku hizi?
 
Kaza moyo mbona waipata JF huko kwa uzuuuri....usife moyo tupo tupo sisi wa mijini tukufariji wewe wa kijijini. #munkari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…