Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

ha ha mkuu umeme utoke wap bush huku? Full giza!

Ndo nchi yetu hii tuipende kivyovyote...

Maendeleo huletwa na sisi mi nakuombea kwa mungu akupe Faraja katika wakati huu mgumu
 
Utazoea tu, nakumbuka Form V nilichaguliwa shule ipo Wilaya haikuwa imeendelea kivile. Siku ya kwenda tu barabara mbovu gari inazingua kila wakati. Kesho yake kengele ya uji ngri ngriii nikaenda kuchukua but kitu uji wa dona nilishindwa kula nikamwaga jeuri ikaisha baada ya vinyama nilivyofungiwa home kuisha nikawa mpole wiki ya pili tu nikaanza kuzoea.
 
asante mwaya liticha miye dah yani hao wanakijiji wenyewe hata siwaoni naona wabibi tu ha ha nacheka kwa hasira hapa!

utawapata tuu...afu najua wanawake huwa ni wavumilivu tofauti na wanaume......piga kazi then uhame mkuu!!!
 
bora wewe umepata hata nyumba mimi nimepoteza matumaini kabisa kwenda shule kila siku na usafiri nauli2000.
 
ha ha ha! Ujue nacheka kwa huzuni hapa! Vip unataka kuleta posa!

Mi naomba nikuhamishe huko shimoni. Maisha yako yatakuwa always wilayani kama sio mkoani. Nipe nafasi aisee!
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Dadaangu,ualimu ni WITO..jitahidi tu u-adapt na mazingira,utapata thawabu. Makubwa mengi yaja, kuna kura ya maoni ya rasimu na kuna daftari la uchaguzi 2015-zote pia ni kazi za walimu ktk uandikishaji..Usikimbie!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole mwalimu mwenzangu,nakushauri fanya kazi then cku za mbele utafanya mishemishe za uhamisho.
 
Ha!ha!ha! Mbona nipo nae apa.aache izo mazingira syo mabaya kivile.apa lazima ampate mchumba iliadumu apa.
 
mmmh changamoto zingine balaaa zinakatisha tamaa ujue!

Mwalimu,fursa ni popote,kuna watu unawaona mjini leo ila wameibukia kijijini sana tena kwa mazingira tata sana,piga moyo konde,jipe moyo,najua baada ya miezi mitatu utani PM,nakutakia uvumilivu mwema!
 
bora wewe umepata hata nyumba mimi nimepoteza matumaini kabisa kwenda shule kila siku na usafiri nauli2000.

Kuna mdogo wangu yuko Udom 1sr year, Education..akipitia huu uzi ataacha chuo.
Ila kuwa mbunifu wa kuendana na mazingira. Usitegemee kila mahali Tanzania ni pazuri, Kaa chini tafakari jinsi ya kuongeza kipato kwa kwenda huko ulipopangiwa kwani naamini uko vizuri kiakili na kiujasiriamali zaidi ya hao wanakijiji. Changamka, usilaumu na kuangalia vitu vidogovidogo. Pole kwa kubadili mazingira.
 
Kijiji gani? mkoa gani? wilaya gani huko?

komaa upate japo kianzio cha maisha sasa ukirudi mjini kavukavu utaishije?
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Komaaa bill ya vipodozi kuanzia kichwani mpaka kwenye kucha za miguuni niachie mimi.
 
Nimemcheki apa cyo mbya analipa uwezekano ni mkubwa kuolewa.km ww ni mchumba lazma ulie.angalia fursa nyngne uko bana.
 
Tuna sukuma weeeh afu tunavutaaa!
Hii ni kujaza tena tunamwaga aiseeee!!!
 
Acha uwoga. Komaa na hayo mazingira, na hivi ni damu changa, Mawazo yako na vitendo chanya vinahitajika kuleta mabadiliko katika hayo mazingira.
 
Back
Top Bottom