Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
ha ha mkuu umeme utoke wap bush huku? Full giza!
Ndo nchi yetu hii tuipende kivyovyote...
Maendeleo huletwa na sisi mi nakuombea kwa mungu akupe Faraja katika wakati huu mgumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha mkuu umeme utoke wap bush huku? Full giza!
mmh na yapite tu afu wameniongezea munkari wa kurudi shule wallah tena huku sikai!!
asante mwaya liticha miye dah yani hao wanakijiji wenyewe hata siwaoni naona wabibi tu ha ha nacheka kwa hasira hapa!
ha ha ha! Ujue nacheka kwa huzuni hapa! Vip unataka kuleta posa!
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
mmmh changamoto zingine balaaa zinakatisha tamaa ujue!
ha ha ha! Ujue nacheka kwa huzuni hapa! Vip unataka kuleta posa!
Ha!ha!ha! Mbona nipo nae apa.aache izo mazingira syo mabaya kivile.apa lazima ampate mchumba iliadumu apa.
bora wewe umepata hata nyumba mimi nimepoteza matumaini kabisa kwenda shule kila siku na usafiri nauli2000.