Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Naomba niPM tuongee tafadhali kuna ishu
 
Munkari
Tukia bana mbona mapema sana mwalimu mwenzangu,mwenyewe nilipo sio pa zuri sana lakin ngoja nikomae kwanza
 
Hahahahah nimeipenda hiyo Mwl rudi mjini tafuta mchumba olewa....karibu Nyasa
 
Usiache kazi kwani kama haujajua mazingira ya tanzania hayana tofauti kubwa kimaisha na changamoto ni usafiri, maji na umeme hivo nakushauri tuliza kwanza kichwa, huyo wa ruvuma muulize mazingira ya Namtumbo anayaonaje? Au Minga kueleke DAR PORI yakoje? Hivo ni jukum la ninyi kupambana na mazingira ili kuyabadili na mkue kiuchumi na sio kulalamika kila muda

Moja kati ya fursa za mkoa wa singida ni pamoja na Alizeti ambapo kama ukilima vizuri inalipa, Ufuta nao maeneo baadhi ya singida hukubali, kuna kilimo cha vitunguu lakini pia waweza fungua genge la kuuza mafuta ya alizeti Dar Es Salaam na ukawa unachukua ijumaa kupeleka mzigo bado itakulipa sana na singida upo karibu pia na kigoma ambapo unaweza kwenda kununua Wax original kwa shilingi 27000 na kuiuza kwa uchache kwa shilingi 45000 bado utapata pesa ya kuendeshea maisha
 
Unanikumbusha Nyasa enzi nafika Mbambabay nililala kwenye hotel ya Capteen Komba , kurudi pale center nikapiga samaki mmoja anaitwa Mbufu mtam huyo na ugali wa muhogo nitarudi tena kutafta kahawa aseee mbufu nao ni balaaa

Hahahahah nimeipenda hiyo Mwl rudi mjini tafuta mchumba olewa....karibu Nyasa
 
Kwani wewe ulisomea wapi?kama ulianzia mjini lazima upate tabu ila tulioanzia vijijini ni kazi kwa kwenda mbele
 
Wewe unalia hapo waliopangwa kilimanjaro sehem moja inaitwa Ndungu nao wasemeje?, waliopangwa kigoma njia za maji nao itakuaje?, makete kule iringa, karatu ndanindani kule, kasulu, bukoba vjjin, manda ruvuma, ileje mbeya, nkasi na mpanda kwa ndani, sikonge au igunga tabora kule, malampaka na ibinzamata shinyanga kwa ndani nao wasemeje??????
 
3G kama inapatikana komaa dada

mmmh ndo itanipeleka mjini hiyo nkiumwa ghafla ee? Full network mabbm matwita mawasap ila ni external needs hizo jaman mweh!
 
asante mwaya liticha miye dah yani hao wanakijiji wenyewe hata siwaoni naona wabibi tu ha ha nacheka kwa hasira hapa!
Utakuwa unatokewa na hawa kwa ajili ya kuombwa papuchi, Mwl Mkuu,mwenyekiti wa Kijiji,Afisa Mtendaji wa kijiji,Afisa tarafa,Balozi manake huko hao watu ndio angalau wana uafadhali
 
Nlipoona caption tu nkajua lazima Munkari achangie; kumbe ndio mtoa mada!!

Komaa mtoto w kike wewe, mbona sie tumeanzia kazi uko
 
Last edited by a moderator:
Hebu anza kutafuta bei ya mashamba huko tuje tuwekeze sawa mwl ?

ha ha tena hilo ndo ninalotiliwa moyo huku ujue kuna mashamba balaa afu bei cheee!! Tatizo mind yangu inawaza lingineee na c kilimo hapa ndo tatizo !
 
Munkari
Tukia bana mbona mapema sana mwalimu mwenzangu,mwenyewe nilipo sio pa zuri sana lakin ngoja nikomae kwanza

aaagh nikomae? Ntapasuka misuli !! Tatizo nikiamka nikiangalia upande huu nakutana na mahindi ule alizeti huku vitunguu maji! Dah itanichukua muda kuzoea!
 
Munkari tafuta hekari ishirini, zitafutie hati ya kimila panda na miti ya mikaratasi ukienda TIB unakopesheka hadi trekta ya milion 40 au CRDB hapo utakopesheka hadi milion 70 hivo ni juhudi zako tu wewe mwnyewe na bora umekua muwazi kua Dar kuna sehem mbovu ajabu
 
Hahahahah nimeipenda hiyo Mwl rudi mjini tafuta mchumba olewa....karibu Nyasa

wee unadhani kuolewa dili?? Afu niwe naomb hadi hela ya i PAD eeeh?!! We hunitakii mema!!
 
Munkari umesomea fani ya wife materials kwa sisi wanaume wengi wetu. Ongera sana, pambana huko huko. Maisha kokote
 
Last edited by a moderator:
Usiache kazi kwani kama haujajua mazingira ya tanzania hayana tofauti kubwa kimaisha na changamoto ni usafiri, maji na umeme hivo nakushauri tuliza kwanza kichwa, huyo wa ruvuma muulize mazingira ya Namtumbo anayaonaje? Au Minga kueleke DAR PORI yakoje? Hivo ni jukum la ninyi kupambana na mazingira ili kuyabadili na mkue kiuchumi na sio kulalamika kila muda

mmmmmh may be ila sijui ka ntakuelewa!! Ngoja nikubali kwa shingo upande!!
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

pima na uone kilicho chema. kurejea home au kuendelea na mapambano ya maisha!!!
 
Back
Top Bottom