Kila jambo fanya kwa kiasi, ukijipenda we mwenyewe tu pia inatosha, huwezi kukubalika kwa Watu wote duniani.Mkuu hapo kwenye kumpenda jirani...
Daaah imenishinda aisee nakaa na watu wana roho mbaya aiseee hawa wakurya sio watu
Mimi nakaa na watu ambao hawataki kabisa ushirikiano an..Kila jambo fanya kwa kiasi, ukijipenda we mwenyewe tu pia inatosha, huwezi kukubalika kwa Watu wote duniani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
😀😀😀Shikamoo mjomba[emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]
Miaka 25 tu ushachoka? 😅😅😅Habari wakuu,
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 25. Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ananizidi umri kwa miaka 7. Yeye ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 kutoka kwenye mahusiano ya awali. Katika mahusiano yetu, mwanamke huyu alipata mimba ya watoto mapacha.
Kila siku namuachia shilingi 20,000 kwa matumizi, na mara chache sana ambapo nimekosa, namuachia shilingi 15,000. Kwa mwezi, inaweza kuwa mara 5 hadi 6 ambapo namuachia shilingi 15,000. Ikitokea siku sijatoa hela, lazima kesho yake nimuachie shilingi 25,000 hadi 30,000 ili kufidia siku iliyopita.
Huyu mwanamke ananipa lawama nyingi sana na anaona hela ninayomuachia haitoshi. Maneno yake mabaya yamenichosha kabisa, nimefika kiwango Cha mwisho cha uvumilivu kwa ajili ya mdomo wake. Anataka nimskilize na nimfuate kila anachosema, lakini mimi sijaumbwa hivyo kumskiliza mwanamke anachotaka ndo nikifanye. Anaona kama ananikomoa kwenye matumizi.
Pia Mimi ni mnywaji wa pombe na naweza kutumia zaidi ya shilingi 50,000 nikiwa na marafiki zangu basi huyu mwanamke hapendi marafiki zangu na hata akikuta nimekaa nao, hawasalmii, wakimsalmia haitikii, Yani amenichosha. Nimemchoka mwili hadi akili, sina raha kabisa. Hata haka katoto chake ni kajeuri balaa na kalikuwa hakaniamkii kakawa kanipigwa na mama ake sasahivi ndo kananiakia shkamoo mjomba kakaniona kananua Yani Kila mtu ananichosha kwakweli Yani nachoka ntakufa sasa, WAKUU NIMECHOKA MWILI HADI AKILI.
Naombeni ushauri wenu wakuu nifanyaje maana akili yangu inachoka kabisa. Nimechoka mwili na akili, sina raha.
Asanteni.
Itakuwa Pesa imewahi kumtembelea ndio maana, akaona ajivutie mshangazi wa maana.Mtoto wa 1999 ulikuwa na haraka gani
Chai jaba😅😅Hello everyone,
I am a young man, 25 years old. I was in a relationship with a woman who is 7 years older than me. She has an 8-year-old daughter from a previous relationship. In our relationship, this woman got pregnant with twins.
Every day, I give her 20,000 shillings for expenses, and on rare occasions when I can’t, I give her 15,000 shillings. In a month, this might happen 5 to 6 times. If I miss a day, I have to give her 25,000 to 30,000 shillings the next day to make up for it.
This woman complains a lot and thinks the money I give her is not enough. Her harsh words have exhausted me, and I have reached the limit of my patience because of her attitude. She wants me to listen to her and follow everything she says, but I am not built that way. She thinks she is punishing me with these expenses.
I am a drinker and can spend over 50,000 shillings when I am out with my friends. This woman does not like my friends and even when she finds me with them, she does not greet them. I am tired of her, both physically and mentally. Even her child is very rude and recently greeted me with “shikamoo uncle.”
I am asking for your advice because my mind is completely exhausted. I am tired physically and mentally, and I have no peace.
Thank you.