Nimechoka na Mahusiano Yangu. Naomba ushauri

Yani sina amani roho inauma mwili umechoka kabisa nahisi Hadi kuumwa kwa dharau hizi
Chukua likizo fupi gentleman,

nadhani kuna wengi humu naweza sema wanapitia makubwa zaidi ya hilo na wanaona soni tu kuomba ushauri na walau kupata relief.

I think hiyo ni miongoni mwa hali utakazopitia hata ukiamua kumuacha huyo ukamuoa mwingine. Lazima zipo kasoro na dosari za kukera katika nyumba au ndoa zitaibuka tu.

Na dawa yake ni kua mstahimilivu na mwenye subra, lakini pia kutumia akili kubwa, hekima na busara katika kulitafutia ufumbuzi jambo hilo.

Please gentleman, focus on resolving and no running away 🐒
 
Mkuu ushauri wako mara nyingi umekaa kimajungu🤣 🐒
 
Wanakuja ila naomba niseme tu,

Umenihamasisha sana.

Kuwa kwenye mahusiano na KE aliyekuzidi miaka 7 ni jambo ambalo kiukweli linanivutia sana.

Na mpaka ukampachika mimba aisee😅

Hongera.
Ila we dogo bwana, unataka mdada akuzidi 10yrs🤣🤣🤣
Akifika 50 wewe bado chalii kabisa, utaanza tabia za hovyo🤣🤣
 
Mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri ni kuharibu rasilimali nguvu
 
Mkuu ushauri wako mara nyingi umekaa kimajungu🤣 🐒
gentleman,
majungu ya upande gani tena kwenye mawadha na nasaha zangu muhimu kwa muungwana na majamaa wengine ambao ndoa na mahusiano yao yamekolea?

let me assure you,
ukifuata mawaidha yangu Lazima ufanikiwe kutoka katika changamoto unayoipitia 🐒
 
Nimekulewa sana mkuu mashuka huu ushauli wako [emoji419]
 
Sawa mkuu nitakutafuta siku moja🤣
 
Wanakuja ila naomba niseme tu,

Umenihamasisha sana.

Kuwa kwenye mahusiano na KE aliyekuzidi miaka 7 ni jambo ambalo kiukweli linanivutia sana.

Na mpaka ukampachika mimba aisee😅

Hongera.
Ila we dogo bwana, unataka mdada akuzidi 10yrs🤣🤣🤣
Akifika 50 wewe bado chalii kabisa, utaanza tabia za hovyo🤣🤣
 
Kaka mkubwa dogo kiupande fulani yupo sahihi mno🤗
Unaungana na dogo, kuwa na mahusiano na mtu mzima zaidi? Sio vibaya na sio sheria kuoa mwanamke mdogo kiumri, ila kibaiolojia..mmh hapo ulipo tafuta mdada yupo 40s uweke ndani🤣
 
Mkuu kwangu mimi hata mtoto wa alfu mbili kuoa itakua ni ngumu 🤣🤣 nilipofikia ni hit and run kwa sasa🤣🤣🤣
 
Mkuu kwangu mimi hata mtoto wa alfu mbili kuoa itakua ni ngumu 🤣🤣 nilipofikia ni hit and run kwa sasa🤣🤣🤣
Ni kweli, hao wa afmbili ni changamoto sana, ila waliokuzidi umri pia ni changamoto...tofauti ya 4-10yrs sio mbaya na wewe uwe mkubwa🤣
 
Sawa mkuu nitakutafuta siku moja🤣
No,
usinitafute mahali pengine kwasabb ya shughuli za wanainchi..

we nitag tu nitajaa mazima mazima bila kujibakiza, nikupe mawaidha na nasaha mujarabu mpaka nihakikishe umenusurika, umepona na kuondoka kabisaa kwenye mkwamo ulioko na ndiyo tusonge mbele pamoja katika ujenzi wa Taifa letu 🐒
 
Kwanza nianze kwa kukutukana "maza Fanta kabisa" wewe Ebu njoo pm nikupe ushauri brother

Achana na hiyo takataka piga chini kabsa jifunze kujijali wewe kosa la kwanza ulilo fanya ni kumpa to the extra (ukiona UnalalaMika kumpa mwanamke aidha fedha au kitu chochote basi jua unatumia energy kubwa)

Kwanza wanawake "masinglemaZa" wana kamsemo kao kapo hivi (Yan wanaume wote wamenikataa wewe ndo unakuja kunibali bwege kabisa)

Your still young mazafanta, your energetic,usiruhusu upotezewe focus usiwe mjinga kula mifupa alioishindwa fisi broo wewe utaweza? )

Focus kwenye kutafuta hela ziwe nyingi uwe na economic freedom achana na hilo lishetani kijana

Acha upuuzi mpige chini
Mwisho, wachache sana walikufa kwa kuish peke yao Ila ni wengi sana wamekufa kwa kuwa kwny mahusiano yasiyo Sahii

Ungekua mtoto/mdogo wangu ungekula bakora
 
Ni kweli, hao wa afmbili ni changamoto sana, ila waliokuzidi umri pia ni changamoto...tofauti ya 4-10yrs sio mbaya na wewe uwe mkubwa🤣
Sure bro, now nimebakiwa na kabinti kangu acha kwanza nikatunze vizuri, now naenda kuwa chapa ilale tu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…