Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

Pole ndoto ya kula chakula ni sadaka au ibada kwa miunge ambayo sio kristo yesu, kwa hyo umeingia kwenye agano nao (usiogope dawa ipo)

Ndoto ya kufanya mtihani level ya chini maana yake unaludishwa nyuma kimaendeleo ( jambo dogo Sana hili)

La kufanya OKOKA, YAN JIKABIDHI MAISHA YAKO KWA YESU
BILA KUOKOKA HAKUNA DAWA NYINGINE UTAKAYO IPATA HAIPO ,

Usipumbazwe na walio okoka na wakaendelea na maisha ya dhambi hao wasikuludishe nyuma ,

Jikane wewe mwenyewe uingie kwa kristo then , Mambo mengine utaambiwa uko, sijui upo wapi lakin ebu fanya hivi tuwasiliane 0698901560, mim sio mchungaji ni mshirika tu, tutaelekezana vzr mim na ww ,
 
Aseee
Asee
 
Sali kwa imani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…