Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama nimekuelewa hv mkuuWengine watakwambia ukanunue kiwanja Kerege ujenge sababu ni asset.
Nunua ndinga hiyo leta heshima, binadamu hajawahi kukosa sehemu ya kulala, ila anakosa usafiri.
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje utoe ushauriC ununue tuh pikpik hilo gali l milion 7 mbn nd dharau zitazid kwan rafik zako wana magar y aina gan
Ulinunua gari gani mkuu?Nimenunua gari sasa huu ni mwezi wa tisa toka ninunue gari na sijwahi kushindwa kuifanyia servicewala kuihudumia mafuta na ninaenda nalo kazini kila siku na weekend naenda nalo kutembelea....Kuwa na nia Mungu atafungua njia...Sasa ninampango wa kuupgrade kwenda kwenye crown
Ukinunua crown hiyo ya sasa uniuzie mimi mkuu.Nimenunua gari sasa huu ni mwezi wa tisa toka ninunue gari na sijwahi kushindwa kuifanyia servicewala kuihudumia mafuta na ninaenda nalo kazini kila siku na weekend naenda nalo kutembelea....Kuwa na nia Mungu atafungua njia...Sasa ninampango wa kuupgrade kwenda kwenye crown
IST ya mil 7,kaka hio haitakuwana gharama ndogo kuihudumiaNunua, tena ist ni gari yenye gharama ndogo kuihudumia.