Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa

From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!

Bullshit!!!!!!!!!!

Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
==========

Ufafanuzi kuhusu Mishahara ya Mwezi June
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
 
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa

From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!

Bullshit!!!!!!!!!!

Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
hahaha... dalili za Umaskini zinakunyemelea taratibu
 
Screenshot_20240624-142420.png
 
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa

From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!

Bullshit!!!!!!!!!!

Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Wewe Ni mfanyakazi mpuuzi Sana mamlaka zinazo husika zifanye kazi yake

Mshahara kuchelewa kidogo TU lawama kibao..

NB.

Ikiwezekana
""wafanye kile wanacho fanyaga kwa "ELEMENT" watu wa vyombo vya usalama wanaelewa maana ya neno ""ELEMENT""
 
Tulieni nyie, tuulizeni wenzenu tulioko mashirika binafsi huwa tunalipwa tarehe ngapi na hatuna kelele.
Jifunze nidhamu ya pesa, usiishi kwa tarehe za mshahara.
Kwani hiyo tarehe unayolipwa hadi mwezi mwingine siku si zilezile..? Mimi nadhani tungeheshimu tu mawazo yq mtu ni haki yake,kimsingi tunategemeana!
 
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa

From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!

Bullshit!!!!!!!!!!

Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
KUMEKUCHA! KUMEKUCHA!🤣🤣
 
Back
Top Bottom