Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Kazi kweli kweli! Wakati sisi taasisi yetu tulilipwa tarehe 20 sijui huku kuna nini?
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Haya nenda kabwie ugoro kibibi ajuza
 
Back
Top Bottom