Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

umri mkubwa lakini uwezo wako wa kufikiria ni mdogo, no wonder ni mtumishi wa serikali.
Mtu akianza kuzungumzia personalities ujue ameishiwa hoja. Mimi ni mtumishi wa umma, hilo lipo wazi, ila hujajibu hoja
 
Jana saa kumi na moja jioni nadhani muamala imesoma ..kama haijasoma itakuwa ni wale ambao hawajaingia kwenye mfumo wa PEPMIS
 
Kulipa mshahara wa May kabla ya tarehe moja June si makosa.

Kuwahisha mshahara kabla ya tarehe ya mwisho kabisa ya kulipa mshahara si makosa.

Kuchelewesha mshahara ndiyo makosa. Yani ikifika tarehe 2 June halafu mshahara wa May haujalipwa, hilo ndilo kosa. Au ikifika tarehe 2 July halafu mshahara wa June haujalipwa, hilo ndilo kosa.

Lakini serikali ikikulipa mshahara wa June tarehe 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30 June, hilo si kosa.

Standing order ya Katibu Mkuu Utumishi inasema kwa serikali italipa mshahara mwisho wa mwezi.

Mwisho wa mwezi June haujafika bado.

Serikali ina muda mpaka tarehe 30 June kulipa mshahara.

Usichoelewa nini?
Kama standing order ya KM utumishi inasema serikali italipa mshahara mwisho wa mwezi, kwanini basi huwa wanalipa tarehe zisizo za mwisho wa mwezi?

Hoja yako kusema huwa wanakwepa mahesabu yao yasijekuzidi mwisho wa mwezi haina mashiko, huoni hili ni kosa lao? hawafuati sheria zao kwasababu hawana uhakika na mambo yao.

Wala hii sio favour kwa mfanyakazi kama ulivyosema mwanzo kwasababu tayari anakuwa ameshafanya kazi kwa siku thelathini.

Hope umenielewa.
 
Logically nikikulipa kabla ya deadline si kosa, kwa sababu sijakucheleweshea mshahara, nikikulipa baada ya deadline ni kosa kwa sababu nimekucheleweshea mshahara.

Huelewi nini hapo?
 
Ok, afadhali sasa tumalize.

Pale juu ulisema serikali ina mpaka 30 June kulipa mshahara, hapa ukasema kuchelewesha mshahara ni kosa..

Serikali imekosea kwasababu mpaka leo tayari imepitiliza muda wa kumlipa mfanyakazi mshahara, toka tarehe waliyowalipa mwezi wa tano, mpaka leo mwezi wa sita, zimezidi siku thelathini.

Nimetumia maneno yako mwenyewe kukujibu, naamini tumeelewana, mambo ya standing orders za KM utumishi nimeshakwambia wao ndio hawazifuati japo wanajua zipo.
 
Jinsi wanavyochelewa kulipa ndio wanachelewa na wao kukata kodi yao, sasa wafanyabiashara wamegoma automatic hawapati kitu na mishahara yetu wamefungia ambapo tunachangia more than 2.8 trillion kwenye bajeti kupitia kodi zetu sasa tukae tu wao wakose na sie tukose 🤣
 
Kodi yao Imeshakatwa Siku nyingi sana..
Wenyewe wanakupa Take home tu 🤣🤣🤣
 
Kama mshahara ni wa mwezi June, obligation ya serikali kulipa mshahara inaanza baada ya mwezi kuisha.

Mwezi haujaisha.

Serikali haina obligation ya kulipa mshahara wa mwezi ambao bado haujaisha.

Ukibisha weka mkataba wa kazi au standing order ya serikali kutoka kwa katibu mkuu utumishi iki validate madai yako.
Lakini nikuulize mkuu,

Ulipaji wa mishahara kwa watumishi wa umma, hauko regulated na sheria yoyote? Hiki unachokiandika ni kwa mujibu wa sheria au ni uelewa wako binafsi tu wa mambo? Binafsi ningependa kufahamu Sir.

Je, kuna muda maalum unaotakiwa kufuatwa kuanzia tarehe ya mwisho ya kulipa mpaka tarehe inayofuata? Kama ipo unaweza kutusaidia kwa ajili ya kujifunza kwakuwa naelewa mkuu una nondo sana na uelewa mpana wa mambo mengi sana
 
Ok, afadhali sasa tumalize.

Pale juu ulisema serikali ina mpaka 30 June kulipa mshahara, hapa ukasema kuchelewesha mshahara ni kosa..

Serikali imekosea kwasababu mpaka leo tayari imepitiliza muda wa kumlipa mfanyakazi mshahara, toka tarehe waliyowalipa mwezi wa tano, mpaka leo mwezi wa sita, zimezidi siku thelathini.

Nimetumia maneno yako mwenyewe kukujibu, naamini tumeelewana, mambo ya standing orders za KM utumishi nimeshakwambia wao ndio hawazifuati japo wanajua zipo.
Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi gani?

Unaelewa kuwa hakuna mwezi wa "toka tarehe waliyowalipa mwezi wa tano". Kuna January, February, March, April, May, June.

Wewe unahesabu siku, kwa sababu May umelipwa May 23, unayaka ulipwe June 23 pia. Serikali ina mpaka mwisho wa June kulipa mshahara wa June.

The fact kwamba mshahara wa May umelipwa May 23 haimaanishi uhesabu siku 30 baada ya June 23 ulipwe tena.

Ule mshahara wa May umewahishwa tu kuepuka kukosa deadline ya June 1.

Standing order ya serikali inasema mshahara unalipwa mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi June haujafika bado. Huna haki ya kudai mshahara wa June.

Sasa wewe unadai mshahara gani? Wa May?

Usichoelewa nini?
 
Lakini nikuulize mkuu,

Ulipaji wa mishahara kwa watumishi wa umma, hauko regulated na sheria yoyote? Hiki unachokiandika ni kwa mujibu wa sheria au ni uelewa wako binafsi tu wa mambo? Binafsi ningependa kufahamu Sir.

Je, kuna muda maalum unaotakiwa kufuatwa kuanzia tarehe ya mwisho ya kulipa mpaka tarehe inayofuata? Kama ipo unaweza kutusaidia kwa ajili ya kujifunza kwakuwa naelewa mkuu una nondo sana na uelewa mpana wa mambo mengi sana
Mshahara unalipwa kwa standing order ya Katibu Mkuu utumishi.

Imewekwa hapa post number #290.

Serikali inatakiwa kulipa mshahara mwisho wa mwezi. Ikiwahisha sawa, lakini haitakiwi kupitiliza mwisho wa mwezi bila kulipa mshahara.

Sasa huu mshahara wanaodai watu ni wa mwezi gani? Mwezi May?

Kwa sababu kama ni wa mwezi June, mwezi haujaisha bado.
 
Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi gani?

Unaelewa kuwa hakuna mwezi wa "toka tarehe waliyowalipa mwezi wa tano". Kuna January, February, March, April, May, June.

Wewe unahesabu siku, kwa sababu May umelipwa May 23, unayaka ulipwe June 23 pia. Serikali ina mpaka mwisho wa June kulipa mshahara wa June.

The fact kwamba mshahara wa May umelipwa May 23 haimaanishi uhesabu siku 30 baada ya June 23 ulipwe tena.

Ule mshahara wa May umewahishwa tu kuepuka kukosa deadline ya June 1.

Standing order ya serikali inasema mshahara unalipwa mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi June haujafika bado. Huna haki ya kudai mshahara wa June.

Sasa wewe unadai mshahara gani? Wa May?

Usichoelewa nini?
Unazunguka sana, nimeshakwambia serikali yenyewe haifuati hiyo standing order waliyojiwekea, kwanini wao walipe mshahara kabla ya mwisho wa mwezi?

Najua utarudi kulekule kuwatetea kwasababu ya mahesabu yao, nikikuuliza tena kwanini mahesabu yao wasiyafanye mapema? utaanza kuzunguka tuanze mwanzo.

▪ Ajabu unasema serikali ina mpaka tarehe 30 kulipa mishahara, huoni hapo unairuhusu serikali iwanyonye watumishi wafanye kazi bure karibia wiki nzima, tangu tarehe waliyolipwa mshahara mwezi uliotangulia? uko upande wa unyonyaji!.

Naona tuishie hapa, kila mmoja abaki na lake, japo kwangu bado hoja zako hazijitoshelezi.
 
Back
Top Bottom