Kulipa mshahara wa May kabla ya tarehe moja June si makosa.
Kuwahisha mshahara kabla ya tarehe ya mwisho kabisa ya kulipa mshahara si makosa.
Kuchelewesha mshahara ndiyo makosa. Yani ikifika tarehe 2 June halafu mshahara wa May haujalipwa, hilo ndilo kosa. Au ikifika tarehe 2 July halafu mshahara wa June haujalipwa, hilo ndilo kosa.
Lakini serikali ikikulipa mshahara wa June tarehe 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30 June, hilo si kosa.
Standing order ya Katibu Mkuu Utumishi inasema kwa serikali italipa mshahara mwisho wa mwezi.
Mwisho wa mwezi June haujafika bado.
Serikali ina muda mpaka tarehe 30 June kulipa mshahara.
Usichoelewa nini?