Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Watumishi wa umma meshaanza kumkumbuka Jiwe? Kuna nyakati alikuwa akilipa mishahara yenu mpaka tarehe 19.

Vipi zama hizi? Maana naona vilio ni vingi huku.

PIA SOMA
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

- Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?
Nani amkumbuke huyu fedhuri aliyekuwa anatupa kauli za dharau kila anapopata nafasi? Eti niache kujenga stiglers niwaongeze mshahara, niache kujenga SGR niwaongeze mshahara as if nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma ni hisani. Nyongeza ya mshahara ipo kisheria, basi usipotaka kutimiza wajibu wako kwa kuwaongeza mshahara basi usiwape maneno ya kadhia. Mimi nashukuru toka ame kick the bucket mshahara wangu umeongezeķa maratatu na posho kadhaa zimekuja. Kuchelewa kwa mshahara hakuondoi favor tulizozipata kwa huyu mama wa kizimkazi.
 
Wewe vyeti feki..tunakujua vizuri.
 
Majobless wakilalamika kuhusu ajira Huwa mnawatukana Kuwa ni wavivu wajiajiri sasa mbona mshahara kuchelewa kidogo tu mnalalamika nadhani pia huu ni wkt wenu wa kujiajiri
 
Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa

From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!

Bullshit!!!!!!!!!!

Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
==========

Ufafanuzi kuhusu Mishahara ya Mwezi June
- Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
Majobless wakilalamika kuhusu ajira Huwa mnawatukana Kuwa ni wavivu wajiajiri sasa mbona mshahara kuchelewa kidogo tu mnalalamika nadhani pia huu ni wkt wenu wa kujiajiri
 
Poleni sana kama vipi gomeni msiende kufundisha.
Kwani watumishi wa umma wote ni wafundishaji? Wengine tunakata umeme, wwngine tunakata maji, wengine tunakata mtandao, wengine tunafuatilia majina halisi ya ID zenu za bandia, wengine tunakusanya kodi na wengine tunaandaa malipo ya hiyo hiyo mishahara iliyochelewa
 
Hilo bandiko la tucta kama ni kweli bas bandiko la hovyo sana kuwah kutokea

Kama ni kweli Kwann wasisubil mwez ujao ndo waanze huo utaratibu kwann katkati ya mwezi
 
Kwani watumishi wa umma wote ni wafundishaji? Wengine tunakata umeme, wwngine tunakata maji, wengine tunakata mtandao, wengine tunafuatilia majina halisi ya ID zenu za bandia, wengine tunakusanya kodi na wengine tunaandaa malipo ya hiyo hiyo mishahara iliyochelewa
kwani nimesema wote ni wafundishaji?
 
Kumbe kuna watu mna lipwa kila mwezi
Yeah, tunalipwa kila mwezi ingawa hatufanyi kazi kila mwezi. Kuna likizo ya siku 28 kwa mwaka na ina nauli ya mtumishi, mwenza wake, watoto wake na mizigo kila baada ya mwaka mmoja, kuna kwenda semina ambayo nayo ina malipo walau 60,000/= kwa siku ndani ya mkoa na 150,000/= kwa siku ukitoka nje ya mkoa hata kama Kibaha au Bagamoyo kutoka Dar inayoambatana na local transport sh. 30,000/= kila siku, kuna malipo unapoondokewa na mtegemezi wako (mwenza, wazazi, watoto) ikwa pamoja na usafiri wa coaster iwapo utahitaji kusafirisha popote, lakini pia kuna malipo ambayo nikiandika hapa walipa kodi wataandamana
 
Kwani wapi nimesema ni kosa?

Mshahara wa June, siku 30 za June hazijamalizika, unasemaje wafanyakazi wamefanya kazi kwa siku 30?
Kumbe bado hatuelewani tu!

Serikali yenyewe ilikuwa hailipi mshahara tarehe moja, hilo sio kosa la wafanyakazi. Hapa hakuna maana ukisema siku hazijamazika za mwezi June.

Tuelewane.
 
Kumbe bado hatuelewani tu!

Serikali yenyewe ilikuwa hailipi mshahara tarehe moja, hilo sio kosa la wafanyakazi. Hapa hakuna maana ukisema siku hazijamazika za mwezi June.

Tuelewane.
Kulipa mshahara wa May kabla ya tarehe moja June si makosa.

Kuwahisha mshahara kabla ya tarehe ya mwisho kabisa ya kulipa mshahara si makosa.

Kuchelewesha mshahara ndiyo makosa. Yani ikifika tarehe 2 June halafu mshahara wa May haujalipwa, hilo ndilo kosa. Au ikifika tarehe 2 July halafu mshahara wa June haujalipwa, hilo ndilo kosa.

Lakini serikali ikikulipa mshahara wa June tarehe 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30 June, hilo si kosa.

Standing order ya Katibu Mkuu Utumishi inasema kwa serikali italipa mshahara mwisho wa mwezi.

Mwisho wa mwezi June haujafika bado.

Serikali ina muda mpaka tarehe 30 June kulipa mshahara.

Usichoelewa nini?
 
Back
Top Bottom