DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Tatizo sio kutoka Tarehe 28 kila mwezi tatizo ni je utakuwa ni kila mwezi tarehe hiyo 28??Niliona bandiko humu kuwa sasa utakuwa unatoka kati ya 28-30 ya kila mwezi
Watu wanacholalamika ni Kuwa Mshahara wa Mwezi uliopita Ulikuwa Tarehe 21 May vipi wa June umechelewa mpaka zaidi ya Tarehe 24..
Kwa maana hiyo tarehe 22 ilikuwa ni siku ya 31 na tarehe 23 ni mwezi mwingine maana ni siku ya 32 na tarehe 24 ni siku ya 33 Tangu mshahara wa nyuma.