Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Mkuu, usifanye ivo mkuuUsitoke tu mamee mnatuibia mademu zetu
hahaha... dalili za Umaskini zinakunyemelea taratibuHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Wewe Ni mfanyakazi mpuuzi Sana mamlaka zinazo husika zifanye kazi yakeHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Private wakati mwingine tarehe 5 mwezi mwingine *****..Tulieni nyie, tuulizeni wenzenu tulioko mashirika binafsi huwa tunalipwa tarehe ngapi na hatuna kelele.
Jifunze nidhamu ya pesa, usiishi kwa tarehe za mshahara.
Kwani hiyo tarehe unayolipwa hadi mwezi mwingine siku si zilezile..? Mimi nadhani tungeheshimu tu mawazo yq mtu ni haki yake,kimsingi tunategemeana!Tulieni nyie, tuulizeni wenzenu tulioko mashirika binafsi huwa tunalipwa tarehe ngapi na hatuna kelele.
Jifunze nidhamu ya pesa, usiishi kwa tarehe za mshahara.
Propaganda tu hizo.Niliona bandiko humu kuwa sasa utakuwa unatoka kati ya 28-30 ya kila mwezi
KUMEKUCHA! KUMEKUCHA!🤣🤣Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa