Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

Nimegundua ,kama mtu amemiss kupigwa spana , Mguse lissu ,utapigwa spana mpaka kiu yako itaisha, aisee nyakati zikikukubali Mshukuru Mungu.

Lissu Katoe Fungu la kumi mzee aridhi imekukubali
 
CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.

N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeee! Hiki ndio chama cha watu ccm mpaka wahonge watu na kutumia dola ndio wanaonekana wapo wapi.
 
Mkuu P Mayala na kaka yangu ,nipo kwenye maombi binafsi juu yako ,nataka Mungu anijibu ili utoke ccm, nini maoni yako kwa hili mkuu, samahani kama nitakua nimekukosea mkuu
Pascal Mayalla kwa akili na anacyokuwaga honest kwenye hoja zake ni excellent, tatizo akiingiza uccm na kutaka kuwatetea waccm na msukuma mwenzake mwendazake tu basi. Mimi kule wananiita Mihayo lakini mwendazake mhhh yaya! Nimemgaya kabisa.
Naunga mkono hoja na mimi naingia kwenye maombi tumtoe CCM.
 
Mbona hata wewe umeanzisha sasa? Hamia fb na tiktok hata insta kwa mahawala zako mpeane taarifa za kina aunt juma sjui nani kafumaniwa au kuna connection mpya usisahau kuptapita kwa mange kimambi kule huku jf na startv mambo ya siasa ni chadema tu kwasasa taifa zima ni lissu ngoja apewe kijiti aje kuwaamsha vijana tumalizane na maccm na nyie machawa wa mama abdul na lile kubwa jinga pale arusha linafanya matukio ambayo hayasaidii taifa hli au vjana wa taifa hili hata ww chawa nikikuuliza hapa land rover festival ilisaidia vp kupunguza tatzo la ajira hata hapo arusha tu huna jbu
 
Kumbe na wewe ni kama mimi, politics is a trap. Nchi yenyewe inaendeshwa na vigogo how the heck upinzani utakua na tija? 2 sides of the same coin
 
CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.

N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Yani ni trend kama kitu kinatrend huwezi kukizuia kwenye mitandao. Now mbowe na lissu ndo trend na ndiyo maana si kwenye jf tu hata vyimbo vya habari vya kawaida vimewapa airtime ya kutosha.
 
Kule Tiktok kuna mada za Baobob unaonaje ukaenda huko ubadili radha?
 
Nimegundua ,kama mtu amemiss kupigwa spana , Mguse lissu ,utapigwa spana mpaka kiu yako itaisha, aisee nyakati zikikukubali Mshukuru Mungu.

Lissu Katoe Fungu la kumi mzee aridhi imekukubali
 
Sasa ikiwa Lissu ni kama Magu sasa huyo Si ndiye kiongozi sasa 🤣
 
CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.

N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
kuna mambo ambayo huwa hayakwepeki, kulingana na majira na nyakati
 
Back
Top Bottom