4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
CDM hoyeeeeeeeeeeeeeeee! Hiki ndio chama cha watu ccm mpaka wahonge watu na kutumia dola ndio wanaonekana wapo wapi.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Pascal Mayalla kwa akili na anacyokuwaga honest kwenye hoja zake ni excellent, tatizo akiingiza uccm na kutaka kuwatetea waccm na msukuma mwenzake mwendazake tu basi. Mimi kule wananiita Mihayo lakini mwendazake mhhh yaya! Nimemgaya kabisa.Mkuu P Mayala na kaka yangu ,nipo kwenye maombi binafsi juu yako ,nataka Mungu anijibu ili utoke ccm, nini maoni yako kwa hili mkuu, samahani kama nitakua nimekukosea mkuu
kakojo..... ulale.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Okay isiwe shida, tutaanza na mada mpya kabisa nazo ni za Lissu vs Mbowe, hizi hazipo.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Yani ni trend kama kitu kinatrend huwezi kukizuia kwenye mitandao. Now mbowe na lissu ndo trend na ndiyo maana si kwenye jf tu hata vyimbo vya habari vya kawaida vimewapa airtime ya kutosha.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Mh hujanijibu, niko kwenye maombi binafsi utoke ccm naomba kibali chako mkuuhii ni trend Lissu ndio habari ya mjini kwa sasa ndie anae trend,huwezi kumzuia,ni kama kuuzuia upepo kwa mkono au kuyazuia maji ya mkondo!。
P
Sioni jipya zaidi ya more hot air!hii ni trend Lissu ndio habari ya mjini kwa sasa ndie anae trend,huwezi kumzuia,ni kama kuuzuia upepo kwa mkono au kuyazuia maji ya mkondo!。
P
Nimegundua ,kama mtu amemiss kupigwa spana , Mguse lissu ,utapigwa spana mpaka kiu yako itaisha, aisee nyakati zikikukubali Mshukuru Mungu.
Lissu Katoe Fungu la kumi mzee aridhi imekukubali
Anzisheni jukwaa lenu la uvccm au kijani kibichi wewe na akina lucas chawa muimbe mapambio ya sa100CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
kuna mambo ambayo huwa hayakwepeki, kulingana na majira na nyakatiCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.