Daah pole mkuu[emoji848]Sio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu.. hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna.. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika.. inavunja moyo sana..
Ebanaaaa eeh[emoji849]Elfu 90 na ushee! Wamepata elfu 6 na ushee!! Yaani hawajafika hata elfu 7!!! [emoji849]
Aisee inauma sana! Ukichukulia most of the graduates wanatokea kwenye familia maskini! Wanatakiwa wawe watulivu sana katika hiki kipindi kigumu wanachopitia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I feel your pain
polesaana mkuuSio wew tu, mimi hapa nna watu kama 7 hapo nyuma wananitegemea na mm nategemea nipate ajira ya serikali nikope bank nikasomeshe wadogo zangu.. hapa nilipo sina hamu natamani ningepata Namba ya Mheshimiwa Ummy nimlilie maana sina namna.. Kwa kweli next time waangalie Hata Mwaka mtu uliohitimu ili wote tupate kwa Uhakika.. inavunja moyo sana..
Kujiajiri ni kipajiDhana ya kujiajili ndipo inapata mashiko
Jiajili mkuu
Tumrudishe aiseeeJiwe Katia kitumbua mchanga alaf akasepa ...duh hatar Sana ,
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.MPE mtaji tu apige job
Kwani Baba yako hakukuandalia ajira?Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Weee bwana ndio maana umeachwa, Mwalimu gani hujui hata kuandika!, WAFATE NDIO NINI?Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Duh...pole sana.Nimejisikia kukata tamaa sana, haiwezekani mtu umehitimu 2016 unaachwa wanakuja kuajiliwa watu wa 2018 wakati hata vigezo hakuzidi nyote mna vyeti nyote mmefaulu,
uchambuzi gani huo uchaambuzi uchwara mlioutumia?
Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu?
sikupendi magufuli na hata sitakupenda umetutia umaskini mtupu
kwanini kigezo kisiwe mwaka wa kuhitimu? wajjiri 2015 wakiisha wafate 2016 wakiisha wafate 2017
upuuzi mtupu endeleeni kuneemeka sisis tusote mtaani bhana
Huyu ndugu atakuwa ameathiriwa na kigezo # 1. Kasema amehitimu 2016 nadhani hakuwa na miaka 40+, ambao ndio walikuwa wengi miongoni mwa waombajiKatibu Mkuu amesema kuwa miongoni mwa vigezo vilivyofuatwa ni:
1)Umri....pamoja na kumaliza elimu siku nyingi.
Amesema wameangalia walio umri mkubwa na miaka 40 pia...(kigezo cha kupata pensheni kwa makato ya miaka isiyopungua 15)
2)Uwiano wa Jinsia(hapa WANAWAKE lakini pia UMRI)....
Pole sana komredi.....
Mwakani Serikali itaajiri tena!
#NchiKwanza
#UzalendoKwanza
#JMTKwanza
Mnhhh!!Magufuli ulaaniwe popote pale ulipo wewe ndiye chanzo, mbn kikwete alikua anaajiri waalimu wote waliohitimu