macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Haya yanahitaji matendo siyo maneno matupu kama unavyodhania. Watawala wetu wapumbavu ndiyo wanasababisha hii hali. Ndiyo hasara ya kuwapa uongozi watu wenye upeo mdogo wa kuchambua mambo.Viongozi, siasa na dini zisitugawe.
Dini zilikuja kwa nia njema kabisa, lakini baadaye zikaingiliwa na wale wenye nia ovu za kupata madaraka kwa njia yeyote ile !!
Hatar sana !Kama wahuni walivyoo iteka ccm
Hawawezi kuliona hili mbwa hao.Hivi unajua ni watu wangapi wanakufa kwa siku moja kwa kukosa dawa , kukosa fedha, utapiamlo, ajali n.k kisa upuuzi wa CCM kuiba pesa na kushindwa kutumia rasilimali za nchi?
Hivi Polepole bado yupo Cuba ?! 😅🙏Kama wahuni walivyoo iteka ccm
Uchawa keroNi vibaya sana kushangilia kifo cha binadamu mwenzio lakini uchawa ni kero kwa Taifa!
Uzuri hakuna mtu aliye wakusanya na kuwaambia haya sasa tushangilie , bali ni kila mmoja huko aliko akajikuta anashangilia kwa hiyo kwa sura hiyo hayo ndiyo mawazo ya walio wengi dhidi ya CCM kuna la kujitafakariTumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Si vzr watu kushangilia binadamu wenzetu wanapotutoka hapa duniani.Tatizo ninaloliona na lisipofanyiwa kazi nchi inaenda kumeguka vipande vipande.vijana wengi wamemaliza vyuo mbali mbali na wamekosa ajira sababu ya sera mbovu ya chama kilichopo madarakani.viongozi wanapeana nafasi kwa kufuata historia za wazazi wao bila kuangalia weredi wao.hali hiyo imewafanya vijana kuona kuwa wanatengwa na mifumo iliyopo kiasi cha kutengeneza chui baina yao.kama hilo halitarekebishwa basi ni hatari kubwa huko mbeleni kwani idadi ya machawa ni kubwa na ndo hupewa nyazifa sababu tu ya uchawa wao.Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Ina maana wewe unashinda JF pekee yake.Mitandaoni watu wanafuraha sana hata mimi nimeshangaa tunakokwenda.Wapi wanakoshangilia?
Tupe mfanoIna maana wewe unashinda JF pekee yake.Mitandaoni watu wanafuraha sana hata mimi nimeshangaa tunakokwenda.
Kwa sababu mimi sio chawa wa CCMKwani chako hawatashangilia?
Wajinga lazima mseme ilo na bado vifo vya nyie machawa lazima iwe sherehe unless nchi itubu kwa Mungu.Jiwe ni mwehu
Wanawaza ubwabwa tu hapo.....
Mlaumu Tulia alivyoigiza jeneza la CHADEMATumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Mwanzilishi ni TuliaNi vibaya sana kushangilia kifo cha binadamu mwenzio lakini uchawa ni kero kwa Taifa!