Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nakumbuka miaka ya 2000.bbc waliwahi kusema kua, wanasayansi wanapambana kutengeneza kizazi kisichotawalika.
Wakati kikwete anatoka madarakani hotuba yake ya wizara ya afya aliisifia kwa kusema, idara ya afya imefanikiwa pakubwa..na kati ya watoto 500 waliofanyiwa umajalibia matokeo ni mazuri.lakini hawajasema ni majalibio gani ya yaliofanywa hadi yakawa mazuri.
Kwakifupi kuna mambo mengi kwenye kizazi cha sasa wanasayansi wanafanya na Hayo ndio matokeo.
Watoto wa sikuhizi wanafanya vitu vya ajabu hadi unashangaa na huwezi kumkanya au kumulekebisha hata anapokosea.
Itafikia hata usipomnunulia soda mtoto wa leo atakuchukia kiasi kwamba hata ukifa hasikitiki kwasababu ya kitu kidogo sana.
Hivyo hata ufanye nini kizazi cha aina hii cha kutengeneza maabala hakiwezi kutawalika, tunaenda kwenye Ulimwengu wa matatizo yasiokua na mwisho.
Hizo ni conspiracy theories tu. Reality is elimu na malezi vimefeli
Angalia idadi ya mmomonyoko wa maadili umeketwa na uatandawazi, halaf serikali dont care, elimu nayo imechangia.
Hakuna uchawi hapa, tumefeli wenyewe